Msinitag threads

Msinitag threads

Honestly utakuwa na matatizo ya kisaikolojia. kama kitu huelewi si unapotezea?Mtu anapoku tag maana yake ka value uwepo wako kama rafiki au mchango wako ni wa maana..lkn kila mtu nadhani ana ajenda zake hapa jf hivo kwa wale wanaokutag message sent and delivered

mmmmh no,sina hayo matatizo ila kuna tags mtu unaclick ukifungua aah huna mchango halafu ulipoona notification zimekuchukulia attention.
 
mmmmh no,sina hayo matatizo ila kuna tags mtu unaclick ukifungua aah huna mchango halafu ulipoona notification zimekuchukulia attention.

Sio vizuri ujue.Umeonyesha picha mbaya kwa marafiki zako.Unajua kuna mambo mengine mtu mzima akiongea unabaki kushangaa.Nadhani una haki ya kusikilizwa ombi lako la ban na Invisible ili uwe kama guest
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom