soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 63
- 132
Naomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo?
ni mwananchi wa kawaida mwenye mapenzi na huu mtandao.Naomba aje kwangu kujitambulisha nataka ni mjue,napia ajibu maswali yangu.kwann yeye tu kila thread yumo.
poor government support vip
Na hiyo ipo mkuupoor government support vip
Ukiwa nazo hizo paper la history ushatoboa 🔥land alienation
forced labour
low wages
unamfahamu bwana mmoja anaitwa Zelewisky. wahehe walimpelekea moto hadi akaomba poo.Ukiwa nazo hizo paper la history ushatoboa 🔥