Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,122
- 5,376
Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hiviiCCM ndiyo wamekubaliana na CHADEMA kuwa kuna haki ya Senegal imeminywa
Wao mwanzoni walitaka kususa kwa kudai watendewe haki
Lakini baadae walibadili mtazamo baada ya majadiliano yaliyoleta maridhiano na matokeo yake wakawa Mabingwa
Scenario ni ile ile kama ya CDM
CDM watumie mbinu hii itawalipa 2030