Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

This language must be tough for you. There's no such thing as "running from yourself"! You're not going to be creating meanings of words in a language yo have no clue about!
Unazidi kujiaibisha tu,

Punguza kukurupuka,uwe unajipa muda wakutafakari kwanza.
 
Wewe sema umepuyanga,punguza ujuaji,hapo unajiona bonge la GT mwenyewe,kama sio Jukwaa la sport ndio upotoshe issue ya sport kwa kitu ambacho hakikutokea? Jitafakari aisee,pia acha kujiaminisha kua una uelewa mkubwa kuliko wengine.
haya yote unayasema yaliyo kicwani mwako, na kuyafanya yanihusu mimi. Sasa unataka nikusaidie nini?
 
Sasa unapuyanga tu mradi uonyeshe upo. Niliandika wapi kujuwa kilichojadiliwa kwenye dressing room ya Senegal?
Kumbe hata hukumbuki unachokiandika hapa! Bila shaka umesha anza kutetemeka hadi vidole,halafu so far nakuchukulia easy tu,nilikukazia kidogo coz ulianza kuniletea lugha za kejeli,huko usijaribu kabisa,ni bora utumia lugha ya staha tu,huko kwenye kejeli usijaribu,utaichukia JF.
 
Sasa hata hiyo soka unayodai unaijuwa, ninayo mashaka makubwa na hilo kwa mwendo huu unaouonyesha hapa.
 
Hayo mashaka ungeanza kujitilia wewe mwenyewe kwanza,unaonekana hata uelewa wako ni wamashaka sana.
 
Unaona sasa usivyokua muelewa,unajiaibisha hapa JF kwani unachokiandika nakisoma mimi tu humu JF mpaka usema unajiaibisha kwangu?
Kwani wewe ndio umejipachika uwakilishaji wa hao wengine wote? nani kakutuma!
 
Hivi wewe ni mzima kweli? Wapi nimesema kuwakilisha watu? Nimekwambia unachokiandika kinasomwa na wengi humu,sio peke yangu,

Kumbe wewe jamaa uwezo wako wakufikiri na kuchambua mambo ni mdogo kiasi hicho? Hata hiyo hoja nyepesi tu umeshindwa kuielewa!
 
Soma hayo maneno yako niliyojibu. Unamsemea nani zaidi ya wewe mwenyewe.
 
Take a break,naona kama umechanganyikiwa tayari,na ungeendelea na ile lugha yako ya udhalilishaji dhidi yangu,ndio ungechanganyikiwa hasa,maana nisingekuacha.
 
Unapenda sana kupangia wengine mambo yasiyokuhusu. Unalitambua vizuri tatizo hili?
 
Sasa umetoka kwenye soka umekuwa stadi wa siasa au siyo?
Wewe Swali langu ni lazima ulijibu,au ukubali hapa kua ulikurupuka,

Ulisema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa HAKI yao,

Nikakuuliza,
Walihakikishiwa HAKI gani? Walihakikishiwa na nani?

Senegal walitoka uwanjani kugomea ile Penalty,na walivyorudi ile Penalty waliyoigomea ilipigwa,

Katafute jibu la hayo maswali yangu,acha kuleta ngonjera zisizokuwepo,umejaribu kunitoa kwenye swali langu ila nimerudia tena JIBU MASWALI yangu hayo Mr Genius,Great thinker wa JF
 
Hujui kuwa nimekwisha jibu hilo swali hadi sasa?
Walichojadili na kuamua kurudi uwanjani, ndiyo ilikuwa HAKI yao
Hakuna aliyewalazimisha; walifanya uamzi wao wenyewe kwa hiari yao. Ni HAKI yao waliitumia.
Wewe Swali langu ni lazima ulijibu,au ukubali hapa kua ulikurupuka,

Ulisema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa HAKI yao,

Nikakuuliza,
Walihakikishiwa HAKI gani? Walihakikishiwa na nani?

Senegal walitoka uwanjani kugomea ile Penalty,na walivyorudi ile Penalty waliyoigomea ilipigwa,

Katafute jibu la hayo maswali yangu,acha kuleta ngonjera zisizokuwepo,umejaribu kunitoa kwenye swali langu ila nimerudia tena JIBU MASWALI yangu hayo Mr Genius,Great thinker wa JF
HAKI yao hiyo, ndiyo iliyowapa ushindi.
Ni kipi usichokielewa hapa!
 
Back
Top Bottom