The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,106
- 117,834
Hata kama mada imeletwa kisiasa ila unachokiongea wewe wala hakikutokea kwenye hiyo mechi,ndio maana nikakuuliza Senegal walihakikishiwa haki gani kwenye hiyo mechi?Mada imeletwa kisiasa; kwa mlinganisho wa msimamo wa CHADEMA kutoshiriki uchafu wa Oktoba; na msimamo wa Senegal kukataa kuendelea na mechi hadi walipohakikishiwa haki kwenye mchezo huo
Senegal walitoka nje ya uwanja kugomea Penalty iliyotolewa na Refa,na waliporudi uwanjani,ile penalty ilipigwa kama ilivyo amuliwa na Refa mwanzo,sasa hapo walihakikishiwa haki ipi? Soka lina sheria zake zinazosimamiwa na FIFA,soka haliendeshwi kwa team kuhakikishiwa haki,sheria zipo tayari,nikuongeze swali lingine,hao Senegal walihakikishiwa haki na nani?
Kumbe ndio maana unaongea mambo ambayo wala hayakuwepo kwenye hiyo mechi,unaonekana hujui kitu kuhusu Soka,yani wewe ulivyoona tu yametajwa mambo ya siasa kwenye issue ya mpira,ukajikoki kubishana!Si muhimu kwangu kuangalia mechi na kuweza kujadili maswala kama haya.
Acheni kutuharibia burudani yetu ya soka kwa kuchanganya na hayo mambo yenu,nyie endeleeni tu kubishana hizo siasa zenu kila kukicha.