Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

Hujui kuwa nimekwisha jibu hilo swali hadi sasa?
Walichojadili na kuamua kurudi uwanjani, ndiyo ilikuwa HAKI yao
Hakuna aliyewalazimisha; walifanya uamzi wao wenyewe kwa hiari yao. Ni HAKI yao waliitumia.
Jibu swali acha porojo,unajua maana ya kusema "Walihakikishiwa haki yao?"

Walichojadili ndio ilikua haki yao? Walijadili nini? Hivi unajua kua kitendo cha wao kutoka nje ya uwanja ni kosa? Na wataadhibiwa na FIFA? yani kuvunja sheria za Soka ndio haki yao? Kwahiyo uliposema Walihakikishiwa haki yao ulimaanisha walihakikishiwa na nani? Haki ipi hiyo? Hili swali ni lazima ulijibu,acha janja janja ili siku nyingine uache kukurupukia kwenye vitu usivyovijua,
HAKI yao hiyo, ndiyo iliyowapa ushindi.
Ni kipi usichokielewa hapa!
Haki ipi iliwapa ushindi? Vipi kama wasingeshinda hiyo mechi?

Sikiliza wewe jamaa,Senegal waligomea penati,wakasusa wakatoka uwanjani,Sadio Mane captain wao akawashawishi wakarudi uwanjani,kisha penati waliyoigomea ikapigwa.
 
Huwezi kubadili chochote kama hutaki jibu. Jibu ni hilo.
Siwezi kuwa na jibu unalotaka wewe.

Senegal walitumia HAKI yao. Walijadili hali iliyokuwepo, wakatumia HAKI yao na kuamua kurudi uwanjani. Hakuna aliyewanyima HAKI yao hiyo; na waliitumia fursa hiyo hadi kuibuka na ushindi.

Sasa unanilazimisha nikujibu vipi unavyotaka wewe?
 
SIku nyingine usikurupuke humu na kuandika vitu usivyovijua,hii ni JF sio grp la kwenu huko,uwe unatafakari kwanza kabla ya kuandika kitu usichokijua,

Mtu anayejielewa hawezi kuita uvunjifu wa kanuni za soka kua ni haki,
Ingekua ni haki yao wasingeomba msamaha wala FIFA wasingesema watawapa adhabu.
 
Yaleyale niliyokuonya juu yake; wewe huna uwezo wa kuniamlia chochote mimi.

Uvunjifu wa kanunu? Kwani bingwa ni nani?

Akili zimekuruka kichwani?
 
Yaleyale niliyokuonya juu yake; wewe huna uwezo wa kuniamlia chochote mimi.
Wewe huna mamlaka yakumuonya mtu yeyote humu JF acha kujipa umuhimu huo,

Huwezi ukapotosha humu kisha ukaachwa tu,sahau hilo.
 
Unaponizungumzia mimi, ninayo mamlaka hayo, ukubali usikubali hilo ni shauri lako.
Huna uwezo wa kuniamria jambo lolote.
Hakuna kilichopotoshwa. HAKI imetendeka, Senegal ni mabingwa; sasa unataka nini?

Nenda kawanyang'anye ubingwa kama hutaki.
 
"Walihakikishiwa HAKI yao ndio wakarudi uwanjani"

Kichekesho chakufungulia mwaka hiki.
 
Na uzuri zaidi ya NUSU YA NCHI ni CHADEMA.

NO REFORMS NO FUCKING ELECTION
 
"Walihakikishiwa HAKI yao ndio wakarudi uwanjani"

Kichekesho chakufungulia mwaka hiki.
hiyo HAKI yao wewe huitaki? Ulitaka uwaamulie wewe kipi cha kufanya?

Walitumia HAKI yao ya kuamua,wakaamua, na wakapata ushindi. Wewe ulitaka nini?
 
hiyo HAKI yao wewe huitaki? Ulitaka uwaamulie wewe kipi cha kufanya?
Wewe jamaa dah! Kuvunja sheria ni haki? Kutoka uwanjani ni kosa ila wewe umekazania eti haki! Mwisho wake umegeuka kua kituko tu,una confidence ya kuongea kitu ambacho hukijui! Ina maana hata hujui kua Senegal wameomba msamaha kwa kutoka uwanjani? Sasa kama ilikua ni haki yao kwanini waombe msamaha?

Hivi hata kwenye mabishano yenu ya siasa hoja zako ndio hua za level hii?
 
Natafuta jezi ya senegal na mali

hapa zipo famba eti elfu 23 ntapata wapi og?
 
Wewe jamaa dah! Kuvunja sheria ni haki?
Kwani bingwa ni nani?
Ni wapi walipovunja sheria Senegal; kutumia HAKI yao ya maamuzi ni kuvunja sheria?

Anayevunja sheria ni Samia Suluhu Hassan anayelazimisha kutawala waTanzania kwa mabavu; ni kipi usichokielewa hapa?

Sasa ngoja nimalizane na wewe kama unazo akili timamu.

Kinachokusumbua wewe ni nini katika swala hili la Senegal?

Huko kwenye soka si umesema mwenyewe kuna sheria? hizo sheria ni za nini, kama siyo kulinfda HAKI

Senegal walillalamikia walichokiona kuwa ni kunyimwa HAKI; taratibu zilipindishwa na huyo refa, wakaona wananyimwa HAKI yao; walkalalamika kwa kutoka uwanjani; wakapima 'options' zao ni zipi. Wakachukua uamzi, ambao ni HAKI yao kurudi uwanjani.

Wewe humu kinachokuuma zaidi ni nini hasa inapotajwa HAKI; maana inaonekana unalo tatizo lile lile la "AMANI", bila ya HAKI; hili ndilo linalokusumbua?

Tatizo lako na HAKI ni nini?
 
Ila kwa mtazamo wangu nimeona kama Senegal wametupa somo kidogo hivii

Wao mwanzoni walitaka kususa kwa kudai watendewe haki

Lakini baadae walibadili mtazamo baada ya majadiliano yaliyoleta maridhiano na matokeo yake wakawa Mabingwa

Scenario ni ile ile kama ya CDM

CDM watumie mbinu hii itawalipa 2030
Waridhiane na CCM?
Baada ya Uchaguzi?
 
Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.

Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Lakini walirudi na kufanya maajabu
 
Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.

Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
Chadema wamegoma na kombe limechukuliwa, acha kuifananisha Senegal na vitu vya kijinga.
 
Kwani bingwa ni nani?
Umerukia ya bingwa ni nani? kwani issue inajadili bingwa ni nani?
Ni wapi walipovunja sheria Senegal; kutumia HAKI yao ya maamuzi ni kuvunja sheria?
Senegal walivunja sheria kwa kutoka uwanjani,ndio maana wameomba radhi kwa tukio hilo,FIFA pia wamesema watawapa adhabu kwa kitendo hicho,hii issue ni very simple kuielewa,sema ni kwa vile tu umejipanga kubishana badala ya kuelewa.
Kinachokusumbua wewe ni nini katika swala hili la Senegal?
Ulipotosha hapa kwa kusema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa haki yao,sasa walihakikishiwa haki gani wakati kitendo cha kutoka nje ya uwanja ni kosa kwa kanuni za FIFA?
 
Umerukia ya bingwa ni nani? kwani issue inajadili bingwa ni nani?

Senegal walivunja sheria kwa kutoka uwanjani,ndio maana wameomba radhi kwa tukio hilo,FIFA pia wamesema watawapa adhabu kwa kitendo hicho,hii issue ni very simple kuielewa,sema ni kwa vile tu umejipanga kubishana badala ya kuelewa.

Ulipotosha hapa kwa kusema Senegal walirudi uwanjani baada ya kuhakikishiwa haki yao,sasa walihakikishiwa haki gani wakati kitendo cha kutoka nje ya uwanja ni kosa kwa kanuni za FIFA?
Siwezi tena kupoteza muda, nimekwisha kueleza kila kitu. Huna jipya tena la kujadili.

Msukumo uliokufanya ujibu ulichojibu mwanzo kwenye mada hii unajulikana sasa, na ndiyo ilikuwa maana yangu ya kukujibu mwanzo kabisa, na mwisho wa siku imebainika sikukosea katika kuelewa kilichokufanya ujiingize kwenye maswala ya siasa, huku ukidai wewe siasa haikuhusu.

Mambo ya ulaghai ni kama tabia mnazofunzwa mngali watoto, maanake ni kama tamaduni kwenu.

Sina muda tena na wewe.
 
Huna jipya wewe,bora upige kimya coz unazidi kuthihirisha ujinga wako hapa,naona umeshakua mtabiri sasa,kwenda huna jipya.
 
Back
Top Bottom