Hapana Prof Ndullu kasema ukweli kuwa kuna fedha ndefu imevutwa BOT, huo ni ukweli usiokuwa na shaka, nikukumbushe tu, vifaa vya kijeshi haviuzwi kwa mkopo lakini juzi tumepokea manowari mbili, mie nilishangaa sana hivi kwanini tununue manowari kipindi hiki kigumu cha nchi? kama kipaumbele chetu ni manowari basi tungeachana na mchakato wa katiba mpya, tume ya warioba na BVR tukanunua manowari fedha yetu ingebaki salama.
Lakini sishangai haya kutokea dakika za nyongeza, hata muhula uliopita tulinunulishwa ndege ya bwana mkubwa na king'amuzi.