Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Kamanda, ule msemo wa ukisusa weye wenzio twala waujua?Kwa kuendelea kumfanyia promo zzk sasa hiyo channel yenu tutaisusa kama tbc na mawingu tv mtabaki kuonyesha mikutano ya ccm tu pale nyamagana
Si ajabu wewe pia unampa promo bila kujijua.