MTUSIASA
Senior Member
- Apr 15, 2015
- 179
- 49
Kuna kipindi kinaendelea live star tv muda huu na mada ikiwa ni "kushuka kwa thamani ya shilingi".
Wageni waalikwa katika studio za star tv(wachambuzi) ni mchumi Donald Kasongi, akiwa anaongea katika studio za Mwanza na Zitto ambae atafuata kuongea akiwa studio za Dar-es-salaam.
Ni fursa nyingine kupima kauli za mwanasiasa huyu kwenye uchumi.
Huyu Zitto kujua anajua na anaelewa tatizo ni MSALITI na sijui atabadili vipi hii kashfa kutokea chafu hadi safi
Last edited by a moderator: