Neema William
Senior Member
- Jan 3, 2012
- 171
- 76
ZZK ni habari nyingine Ana umri mdogo ila Ana akili kubwa sana,hongera zakezito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
ZZK ni habari nyingine Ana umri mdogo ila Ana akili kubwa sana,hongera zakezito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
Usaliti mbaya sana ok mchangie buku10Tatizo ni kuhama chama!!! Tatizo ni kuwa ACT wazalendo!!! Tatizo ni kiongozi wa chama!!.! Tatizo ni Zito!!!?
Mpaka mjadala wenyewe unapoteza mwelekeo, kuna watu humu hata Mungu wanaweza kumwita shetani kama maslahi ya bwana zao yameguswa..
Zito yupo vizuri uchumi,anafaa kuwa Rais
yule mzee analipa kodi halali ndio maana hajifichi kuchangia watu wanaoonekana kuleta mabadiliko kwenye nchi hii iliyojaa vibaka wavaa sutisabodo - ccm - chadema
Huyu Zitto kujua anajua na anaelewa tatizo ni MSALITI na sijui atabadili vipi hii kashfa kutokea chafu hadi safi
wewe umelamba ya mwanamke?Siku hizi ayatoullah ni mwanamke au jinsia ya tatu?kama kawa jisukule la mbowe at work. jianaume zima linafanya kazi ya kulamba miguu ya mwanaume mwengine. mwanaume hatakiwi kuwa laini kiasi hicho.
nikupe hala ya kenya..nilikuwa nanunua kati ya 17-18tsh ,na kule nairobi ndipo nilikuwa nanunua 20,kwa vile bureau nyingi na bank hazina tsh...Ila sasa Ninanua tz tuu ksh 1-22tsh....Labda wewe ndio hujui kuwa shilingi haijashuka kwa currency zingine zaidi ya dola Ebu tuwekee hapa hizo rate za Euro na Pound unazosema zimepanda nazo kwa kasi
nipo ..namsikiliza jamaa akiburuza wapuuzi wa star TV..waandishi wa star Tv ni washamba mbaya aisee..wao ni kujibrash tuu saluni na kukaa mikao ya kujistukia.Maswali yao ya hovyo,halafu wanatoka nje ya control haraka sana.Yaani wanakubali kuambia INABIDI MUONGEZE MUDA?Halafu mtu anachoongea haongei kuhusu wizi, na hela za nchi nyingine..as if hajui kwamba si dollar tuu?Bado mwandishi anaweza mbwembwe kwamba watamhitaji next time ...?Mkuu Nicholas upoo!!
Bila shaka ni hazina ya Mama yako
You're clueless indeed, In fact I am a man of my own who knows what he wants from the politics.I am not a worshipper or ass kisser like you.For your information, I am also a big critic of Mbowe. Many CHADEMA supporters know me very well and my stance on Mbowe,they are also suspicious about me.I am an independent thinker and because I view things independently,I foresee things you guys can't objectively see because of your blind loyalty to the guys you blindly follow.