Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Mh Waziri wewe ndo tunakufikishia maoni direct bila kificho chochote hii ni kwa sababu mawaziri wengine au idara zingine hawana muda na sisi kama wewe hivi unavyojibu maoni na mawazo yetu bila kuangalia nani kasema.

Hao wengine hatuwaoni kabisa. Pia wewe una nafasi kubwa sana ya kukaa na waziri wa idara husika na kumwambia maoni haya tuyayatoa kwako kama wewe wizara yako haiuhusiani nayo.

Zaidi ya yote tunapokupongeza basi ukubali na tunapokukosoa na kwa sababu hii ndio maana wizara yako inafanya vyema.

Kama hizi betting hazikuhusu tunakuomba utuitie waziri wa wizara husika tufanye interview naye hapa uzi upandishwe Live tumwambie changamoto zote hapa hapa.

Ahsante sana
Nawapa elimu mjue maana, siko hapa kwa hati miliki. Je nikiondoka na akaja mwingine ambaye hayupo humu, mtapeleka wapi hayo maoni? Mnatakiwa mjue concept nzima ya maendeleo ya jamii kuwa ni treni ndeeefu ya mabehewa meeengi yaliyobeba dhana za kuchochea hayo maendeleo ya jamii. Itawasaidia.
 
Siyo upepo wa online kwani hujawahi kusikia kutekwa Kwa kina mdude au soka au kibao , aaaaaaah acha unafiki wewe ugali unakulunguzia heshma kaka kama miaka arubaini umebakiz ishirini na sababa tuu mwili hauna kazi Tena huo kaka unYasohelea marejeo ya muumb wako uzee siyo kitu RAHISI saana
Mimi siyo kaka tafadhali. Edit kwanza hapo ndiyo hoja yako ipate standard ya kurejewa kwa reply tafadhali
 
Nawapa elimu mjue maana, siko hapa kwa hati miliki. Je nikiondoka na akaja mwingine ambaye hayupo humu, mtapeleka wapi hayo maoni? Mnatakiwa mjue concept nzima ya maendeleo ya jamii kuwa ni treni ndeeefu ya mabehewa meeengi yaliyobeba dhana za kuchochea hayo maendeleo ya jamii. Itawasaidia.
SIJAKUELEWA.
 
Kwa hiyo Mheshimiwa, kwa maoni yako, ushauri bora unaweza tu kutolewa na mtu mwenye cheti rasmi?

Je, cheti cha elimu ni kipimo sahihi cha busara, uzoefu au maadili ya mtu?

Ikiwa elimu ndiyo kigezo cha kutoa ushauri bora, kwa nini baadhi ya wabunge wa Bunge la Tanzania hawana hata elimu ya sekondari, lakini bado wanajadili sheria na bajeti za taifa?

Unaweza kuwa na cheti, lakini ukakosa maarifa ya maisha au maono ya nchi. Kwa nini tunawapuuza wasio na vyeti lakini wana uelewa mkubwa wa matatizo ya wananchi?

Je, cheti ni uthibitisho wa uwezo wa kusikiliza, kujifunza, na kuheshimu hoja tofauti?

Kwa mtazamo wako Mkuu, ni bora kupata ushauri kutoka kwa mtu mwenye cheti ambaye hajawahi kuhangaika kijijini au mtu asiye na cheti aliyeshuhudia maisha ya wananchi kwa miaka mingi?
Jibu hutegemea muundo wa hoja? Kama goja inalazimisha kuwa, hili liko hivi na siyo vile, wakati jambo lenyewe ni ka kiufundi, na mimi nipo na mafundi wenyewe na hawasemi hivyo, ili nichukue hoja yako, si inabidi nikuulize uthibitisho wa ufundi wako?
 
Dr. Asiporudi basi chama hakitatutendea vyema kabisa.

Na wizara apewe hii hii🙏
 
Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.

Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.

Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.

Hii ni kwa kifupi tafadhali....
View attachment 3407353

Yesu hakuwa mtume. Au wewe ni Muislam
 
Ulete na takwimu za ushoga.
Sina shaka kwenye kipindi Chako ndio Kuna ongezeko kubwa la mashoga na wanaoneka hadharani kabisa !!
Hakuna maendeleo ya jamii kama Kuna ushoga.

Usijibanze hapo tu kwenye ukatili wa watoto na hizo tafiti zako za kupikwa.
View attachment 3407547
Tatizo moja linawakumba wengi ni kutojua hata chombo gani kinahusika na kusimamia hayo maadili yenyewe ili mkipe hayo maoni. Ndiyo maana huwa nawasikiliza nawahurumia tu kuwa, siku nikimaliza majukumu haya sijajua nani sasa mtakuwa mnampa hayo maoni yenu. Na kuwa, ushoga umeongezeka, tathmini yako iende sambamba na kuongezeka kwa uhuru wa habari. Vinginevyo nawe mpiga stori tu sasa, tuendelee kusoma stori.

Na takwimu za ushoga kwa mujibu wa sheria, utazipata wizara ya mambo ya ndani na wizara ya katiba na sheria ambako, hukumu za mashoga kwa mujibu wa sheria hufanyika.
 
Dr. Asiporudi basi chama hakitatutendea vyema kabisa.

Na wizara apewe hii hii🙏
Haki hutendeka vema kabisa kulingana na mahitaji ya nyakati mbalimbali hivyo, mtu kurudi au kutorudi ni mipango tu na mikakati ya serikali siyo lawama kwa yeyote
 
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :

Kabla ya kutuhubiria

Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu

Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.

Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.

Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.

"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
View attachment 3407330
Wakamuuliza Yesu’ Sisi tumeacha vyote tukikufuata tutapata nini?”

Yesu Kristo akawajibu “ duniani mtapata mara 100 na mbinguni mtapata Uzima wa milele “
 
Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.

Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.

Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.

Hii ni kwa kifupi tafadhali....
View attachment 3407353
Asante kiongozi, mwenye kuelewa ameelewa.
 
Kuna mtazamo usio sahohi kabisa. Wqziri nimekufuatilia kwa muda mrefu Sana. Kwako wewe maendeleo ya jamii ni kupinga na kupunguza ukatili wa kijinsia tu Basi. Mengine sio maendeleo ya jamii. Waziri, wizara yako hii ni wizara mtambuka. Kiuhalisia wewe ni waziri asiyekuwa na wizara maalum. Maendeleo ya jamii yanagusa nyanja nyingi Sana. Usijikite kwenye unyanyasaji wa kijinsia tu.
 
Walaa, kumbe hujanielewa kabisa na kumbe, tunapoeleza utekelezaji wa wizara dakika 60 pale bungeni siku ya kusoma hotuba ya bajeti wewe wala huwa husikilizi, miaka yote 4 nasoma wala husikilizi. Sawa utajuaje tunayofanya? Yaani bunge lote linajua na kutupa fedha wewe hujui halafu unatoa maoni kwa ujasiri kabisa, si majanga haya. Nenda basi www.jamii.go.tz utenge muda usikilize ndiyo urudi uniTag
 
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :

Kabla ya kutuhubiria

Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu

Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.

Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.

Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.

"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
View attachment 3407330Kwa
Wewe ni muhuni Unamchanganyia mafaili Dkt Gwajima. Yeye siyo waziri mkuu ama Raisi hawezi kusimamia wizara zote
 
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :

Kabla ya kutuhubiria

Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu

Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.

Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.

Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.

"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
View attachment 3407330Kwa
Wewe ni muhuni
Nipe chako kwaza cha ustawi wa jamii, 😜😜

Alafu Naona kama hurudi tena wewe kwenye baraza😜😜

Mnachanganyia mafaili Dkt Gwajima. Yeye siyo waziri mkuu ama Raisi.
 
Siyo upepo wa online kwani hujawahi kusikia kutekwa Kwa kina mdude au soka au kibao , aaaaaaah acha unafiki wewe ugali uwkiuendekeza saana unukupunguzia heshma kaka. kama una miaka arubaini juwa umebakiz ishirini na sababa tuu Kwa ahadi za Mungu mwenyewe mwili hauna kazi Tena huo kaka , una yasogelea marejeo ya muumba wako uzee siyo kitu RAHISI saana. Ukishindwa kuhubiri injili basi hubiri hata Haki mkuu.
Yaani mmewaacha wahusika wa kumdhibiti utekaji mnataka waziri wa maendeleo ya jamii akadhibiti? Huu nao ni ukurupukaji! Vijana wa Tanzania hata hamjui wizara zinafanyaje kazi? Ni aibu kwetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom