The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Kwan mnacheza upatu kule sio mashindano madam,Au kinyanganyiro maana yake ni nin?Kwani kuna mashindano ya kurudi na kutokurudi😃
Kwan mnacheza upatu kule sio mashindano madam,Au kinyanganyiro maana yake ni nin?Kwani kuna mashindano ya kurudi na kutokurudi😃
Pale kijitonyama kuna chuo cha ustawi, semina ya wiki moja tu inakutosha ili kupata majibu yote ya maswali yako. Mimi nilishapita huko, zamu yako sasaBasi Nijibu wanaotekwa ni jamii ipi na wanaobakwa ni jamii ipi.
Alafu ukimaliza,niambia kubakwa na kutekwa kipi kibaya zaidi.😂😂
Kashindane sasa na wewe, wasubiri nini🤗Kwan mnacheza upatu kule sio mashindano madam,Au kinyanganyiro maana yake ni nin?
Jibu swali bwana wewe, una zunguka zunguka tuu😂😂😂Pale kijitonyama kuna chuo cha ustawi, semina ya wiki moja tu inakutosha ili kupata majibu yote ya maswali yako. Mimi nilishapita huko, zamu yako sasa
Mimi nataka kiti cha ubunge kwanza 😂Kashindane sasa na wewe, wasubiri nini🤗
Ukiongeza D 3 hivi utaona jibu likikutosha sizeJibu swali bwana wewe, una zunguka zunguka tuu😂😂😂
Wanaotekwa ni jamii ipi na wanaobakwa ni jamii gani na wewe ni Waziri wa ustawi wa jamii ipi.
Mbona uko kimyaa
Leo umeyakanyaga
Ukifika dodoma pale karibu na CBE uliza geti la bunge watakuonesha tafadhali na mengine utajieleza hapo getiniMimi nataka kiti cha ubunge kwanza 😂
Aisee,jibu swali madam,Ukiongeza D 3 hivi utaona jibu likikutosha size
Nijieleze kwa Mlinzi mimi?Ukifika dodoma pale karibu na CBE uliza geti la bunge watakuonesha tafadhali na mengine utajieleza hapo getini
Wewe huna adabu kabisa. Kwa utovu wa nidhamu huna cha maana cha kurithisha kizazi chako. Hiyo legacy yako itakuwa ya matusi na kiburi.Aisee,jibu swali madam,
Achana na maswala ya D madam ,D ndio ya kwanza kwenye jina lako,
Sasa sijui unataka D ipi?😂😂
Sijaona swali hapo sana nimeona jinsi gani unajifunza kuuliza maswali 🙆Aisee,jibu swali madam,
Achana na maswala ya D madam ,D ndio ya kwanza kwenye jina lako,
Sasa sijui unataka D ipi?😂😂
Hahaha nimecheka sana Mheshimiwa na wewe kumbe unajua kupiga spanaUtaji mix mwenyewe tu na C zako divide by D zako
Kidogo tu za kiainaHahaha nimecheka sana Mheshimiwa na wewe kumbe unajua kupiga spana
Mimi aje anisaidie kunishauri jambo moja linanichanganya sana kuhusu avatar yako.Dkt. Gwajima D
Mama Vicky em njoo hapa utolee ufafanuzi wa kina. Lol
Ukatili wa kihisia kwetu wanaume umeongezeka Mheshimiwa.Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.
Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.
Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.
Hii ni kwa kifupi tafadhali....
Sasa bila maelezo watafunguaje geti wakuoneshe kiti chakoNijieleze kwa Mlinzi mimi?
Mimi nataka uwaziri wew CBE nishavuka huko.
Tukutane tarehe 29 Dodoma
Naona Madam kaita kikosi kazi,Wewe huna adabu kabisa. Kwa utovu wa nidhamu huna cha maana cha kurithisha kizazi chako. Hiyo legacy yako itakuwa ya matusi na kiburi.
Jiunge na chama cha wanaume wakupe mawaidhaUkatili wa kihisia kwetu wanaume umeongezeka Mhe.
Kwa mfano siku hizi imeibuka tabia ya wadada kuomba umtumie nauli ili aje kukutembelea. Ukimtumia tu anakublock au anazima simu.
Pia wameanzisha utaratibu, ukimuomba Namba ya simu na ukaja kumpigia anaanza kukueleza matatizo kibao ili tu umtumie Pesa.
Ingefaa wizara mlitazame na hili maana Ni ukatili wa kihisia pia.
Mh. Dkt Gwajima Mungu akurejeshe kwenye uwaziri wa hii sekta, nadhani hao LATRA na TABOA hawana interest ya kulinda haki za mtoto (under age) kwenye vyombo vya usafiri zaidi ya wewe na wizara yako. Nadhani wewe ndiye unaweza kuwaamsha na kujua umuhimu wa haki za mtoto kulindwa kwenye vyombo vya usafiri wa umma.Unawajua TABOA na LATRA?
Mimi mwenyewe filidimasho, kikosi cha nini sasa, wewe pambana nao tu kivyakoNaona Madam kaita kikosi kazi,
Hay,Nijibubu wewe ndugu,wanaotekwa ni jamii ipi na wanao bakwa ni jamii ipi,Alafu Madam ni waziri wa ustawi wa jamii ipi?😂😂