Mkuu kweli huoni nafasi ya serikali kuchangia mmomonyoko maadili ?
Ngoja tu nikupe
Mfano mdogo sana kwenye maisha yetu ya kwaida,,
Mfano, Mzazi nitajitahidi kumuelekeza mtoto asiangalie vipindi vya ajabuajabu kwenye tv, atakuelewa.
Ila watoto ni wadadisi kama kawaia Yao, ,, atakuiliza kwani Baba/Mama vipi vya maana ni kama vipi!?
Utamtajia vipindi kadhaa ikiwemo taarifa ya habari.
Hapo kama Mzazi ume-play part Yako.
Muda WA habari ukifika ndio tunakutana na tangazo la Pombe au kamali.....hapa ndipo nafasi ya serikali ilipaswa kuingia. Hapa ndipo panahitajia viongozi wenye jicho la mbali Kuona jamii inavyoharibika.
Kwa sababu kitu chochote kinachongia kwenye ubongo WA Mtu mara kwa mara,, hakawii kukifanya.(Scientific proved)
Lakini serikali inajali Kodi tu bila kujali chanzo gani Cha mapato.,,,kwanini msiwe na Taifa lenye laana.