Ndio akili yako ilipoisha Mjumbe,We
We una matatizo yako binafsi upuuzwe
Kwa sasa huwezi kunielewaSasa akijiuzulu itasaidia nini, we unataka ile nafasi? Huyu mama amejitahidi sana tena sana, we umetumwa siyo bure. Watanzania wanajua na wameandika humu hakuna waziri km Dr. Dorothy Gwajima yuko karibu sn na wananchi, akipata taarifa tu jambo hilo analishughulikia haraka sana, huyu mama Mungu ambariki sana.
Nilijua tu ni mwehu flani, mh. Waziri mpuuze huyu kenge ana sononaUngenipa cheti chako cha kusomea uwaziri wa ustawi wa jamii kwanza ingependeza zaidi 😜
Amejichanganya huyo mpuuziUnawajua TABOA na LATRA?
Hayo mambo yako wizara ya mambo ya ndani, we kinachokusumbua ni husda kwa waziri wetu na uchawi.Hatarii,Serikali inafungia taasisi ya kidini ,Mama anakuja kuzindua jengo la taasisi ya kidini,Mawaziri wanatuelekeza kuwa kutumia vitabu vya Dini,
Mwaka huu tutachanganyikiwa sisi
Hapa ilibidi waweke Safari channel badala ya movie za wagangaHakika umechambua vizuri. Mh. Dkt Gwajima pia alione hili la kwenye public transport hasa mabasi unakuta wanaweka movie za kuuana ambazo hazipaswi maana unakuta kuna watoto yaani badala ya serikali kuweka amri mabus yote yaoneshe royal tour unakuta ma movie ya kuchinjana
We ndio umemteua? sisi tunamwombea awe angalau naibu waziri mkuu km siyo waziri mkuu. Huyu mama tangia kipindi cha Magu akiwa waziri wa Afya alikuwa jembeNipe chako kwaza cha ustawi wa jamii, 😜😜
Alafu Naona kama hurudi tena wewe kwenye baraza😜😜
Ulete na takwimu za ushoga.Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.
Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.
Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.
Hii ni kwa kifupi tafadhali....
View attachment 3407353
KabisaHapa ilibidi waweke Safari channel badala ya movie za waganga
Sasa na wewe ulitakiwa kujua kuwa, mwenye dhamana ya maadili ni wizara ya utamaduni. Kuwa bingwa wa kutoa maoni inahitaji pia ujue unafikisha maoni wapi? mashariki au kusini, vinginevyo, ni sawa na kwenda vitani na AK47 ila hujui target ya adui, unabonyeza bonyeza tu button mradi zifyatuke usababishe milio, adui atakupiga tu tena konzi uzimie na silaha yako. Hapa ndiyo watoa maoni wengi mnafeli sana.Na Usituulize sisi tunapaswa kufanya nini kuhusu mmomonyoko wa maadili;
Wewe ulipaswa utoe maelekezo tujue Cha kufanya.
Kwa Kuwa Silaha zote unazo, ya kwanza
UWAZIRI na yapili BIBILIA...
Ulitakiwa uje na majibu au maelekezo......wote tukianza kuulizana hapa tutafika wapi!!
Na wewe pia, kila nikienda kwenye kurasa za wizara zenye dhamana na maeneo husika sioni haya maoni na ushauri. Nagundua tu kuwa, ama hamfahamu vema wapi pa kufikisha maoni haya au basi tu hamtaki kuona mimi na breathe 😆 kwa kuhakikisha kila changamoto mna connect na wizara hii ya Maendeleo ya jamii. Kwa utaratibu huu, mtatoa maoni kila siku na mimi sasa nitaanza kuwatazama tu napita hivi...... 😷 . Iwapo dhamira ni njema, basi iendane na kufahamu wapi pa kufikisha sauti gani kwa ufanisi zaidi... Ahsante sanaMh Waziri unazingua. Usijifiche kwenye kichaka cha mtume au yesu hakumaliza changamoto zote.
Maswala ya betting tumeyaongelea mno humu na % kubwa wanaocheza Yale mabaonanza ni watoto wanafunzi kuanzia umri wa miaka7+ wanajua kuyacheza.
Watoto imefikia hata wakiagizwa chumvi wanapita kucheza kwanza bonanza mtaani.
Kwa hali ya mabonanza iliyopo mtaani ni nyingi kuliko hata maduka.
Kipindi hujaingia kwenye wizard hiyo mabonanza yalikuwa kwenye bar/Club.
Kwa sasa mabonanza yapo hadi kwenye saloon za kunyoa na kwenye maduka ya watu.
Hii inatupa changamoto sana sisi wazazi maana serikali imeruhusu yawe holela tu ni ajabu kweli
Maadili yanavurugika mno watoto wakipigwa kwa kucheza mabonanza mnatoka mbiombio kumkamata mzazi aliyempiga mtoto wake kipigo cha mbwa koko.
Mfano wiki iliyopita tu siku ya Alhamisi mtoto wa kike wa darasa la sita aliagizwa akasage akipewa sh 2000 ili usage na kununua mafuta ya kupikia.
Cha ajabu yule binti akapita kwenye bonanza akaliwa hela yote akaenda wanakouza mahindi akauza ili aje akomboe hela aliyoliwa.
Nayo pia ikaliwa. Kilichofuata ni kipigo cha mbwa mwizi kwa hakika kama tungempiga picha na kukutumia wewe huyo mzazi ungeruka nae.
uzuri binti anaendelea na masomo huku akijutia kipigo kile.
Nakuomba sana haya mabonanza na aina zingine za kamari ziwekeeni kodi kubwa na sheria kali sana.
Mfano yasionekane mtaani isipokuwa kwenye kumbi za starehe tu wanapoingia watu wazima miaka 18+. Kama club,bar,casino nk
Siyo yawe kila Mahalo kiholela tu
Haya bwana,matusi Sio itikadi zangu.We una ndizi mkunduni, uwe na adabu kwa waziri wetu mpendwa, njoo na ID halisi siyo km msukule ulivyo sasa. Sasa Kibwengo km wewe nani anakujua, halafu jitambue siwezi kuwa na adabu km msukule mburukenge km ww
Ina maana mpaka leo hujui cha kufanya kuhusu mmomonyoko wa maadili unasubiri mpaka waziri aje akuelekeze cha kufanya? Kazi tunayo kwa kizazi hiki!Na Usituulize sisi tunapaswa kufanya nini kuhusu mmomonyoko wa maadili;
Wewe ulipaswa utoe maelekezo tujue Cha kufanya.
Kwa Kuwa Silaha zote unazo, ya kwanza
UWAZIRI na yapili BIBILIA...
Ulitakiwa uje na majibu au maelekezo......wote tukianza kuulizana hapa tutafika wapi!!
Hayo maendeleo ya jamii yana nyenzo mbalimbali zenye mikono mbalimbali. Sasa vitani ukibeba nyenzo moja tu ya bunduki, ukafika mtoni hakuna daraja wala mtumbwi wa kuvuka, bunduki yako inakusaidiaje? Maendeleo ya jamii ni pamoja na sekta zote kwa ujumla wake siyo moja. Hata elimu, kilimo, sheria, uchumi, kazi na ajira, Utamaduni, sanaa nk zote. Ukielewa dhana hii, utajua jinsi ya ku balance emotions zako kwenye maoni na ushauri na direction ya maoni na ushauri. Vinginevyo, utajikuta wewe mwenyewe vinakuchanganya.Wizara kama Yako Mama ni uti wa mgongo maendeleo ya Nchi kwa sababu hakuna maendeleo bila watu makini ambao watafanya uazalishaji kwa kufanya kazi.
Sasa watu wote wakipotelea kwenye ulevi na kamali Kuna kazi itafika hapo?
Salaam. Tumia muda huu ambapo, bado nipo, nipe ushirikiano tafadhali tufanyie kazi. Kurudi au kutorudi ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila kikubwa, mimi pia bado ni mtumishi wa umma sijastaafu hivyo, Mungu atajua nikatumike wapi. Pia simu yangu ni 0765 345777 (andika sms tafadhali) iwapo kuna taarifa za kuficha ili wasishtuke tuwadake kimya kimya.Kama utafanikiwa kurudi tena bungeni, hata usipoteuliwa tena (kwasababu nchi hii uchapakazi sio kipaumbele). Naomba usaidie kupaza sauti juu ya taasisi na mashirika ambayo yamejibrand kama watoaji wa misaada kwa watu wasiojiweza.
Kuna ukiritimba mkubwa sana kwenye baadhi ya mashirika ambapo watu wanayatumia kujinufaisha wenyewe bila hata aibu. Inawezekana kwa nje linaonekana linafanya kazi yake vema lakiniukifanya utafiti kwa wanufaika utagundua bora TASAF ambayo inawafanyisha watu kazi za mikono kwa mshahara wa 24,000 kwa mwezi.
Kwanini nasema hivi, fikiria taasisi inakusanya mamilioni au mabilioni kwa mwaka, halafu data zinapikwa ilimradi kuonesha wanufaika wamenufaika lakini ndani watu wanaugulia maumivu.
Kama itakupendeza, niko tayari kukutajia moja ya vituo ambavyo vinapatikana kwenye eneo nililopo ambapo wasimamizi wanapika data kila leo huku baadhi ya wanufaika wakitopea kwenye lindi la umasikini. Na kama serikali mnaweza mkatuma wachunguzi huru ambao hawatatumia data kutoka vituo husika bali wataingia mtaani kuzungumza angalau hata na wanufaika 30/300 wanaohudumiwa na vituo husika.
Huwa naumia kwasababu najua lengo la kuanzishwa na matokeo ni vitu viwili tofauti. Ikumbukwe kuwa mimi sio mmoja wa wanufaika lakini yanaoyoendelea kama mtanzania ambaye angalau Mungu amenijaalia kuwa na ubinadamu na kutamani matokeo mazuri (hata yakiwa kidogo kulingana na uwezeshwaji) naumia kuona watoto masikini wakitumika kama daraja la kupitishia ajenda za kitajiri huku wao (masikini) wakiishia kunufaika kwenye makaratasi.
Naomba niishie hapa kwasasa. Ukitaka maelezo zaidi nipo hapa.
Siyo upepo wa online kwani hujawahi kusikia kutekwa Kwa kina mdude au soka au kibao , aaaaaaah acha unafiki wewe ugali uwkiuendekeza saana unukupunguzia heshma kaka. kama una miaka arubaini juwa umebakiz ishirini na sababa tuu Kwa ahadi za Mungu mwenyewe mwili hauna kazi Tena huo kaka , una yasogelea marejeo ya muumba wako uzee siyo kitu RAHISI saana. Ukishindwa kuhubiri injili basi hubiri hata Haki mkuu.Lete cheti chako cha kusoma chuo cha ustawi wa jamii kwanza kabla ya kurejea majukumu yake kwa kufuata upepo wa online rafiki🙆
Mh Waziri wewe ndo tunakufikishia maoni direct bila kificho chochote hii ni kwa sababu mawaziri wengine au idara zingine hawana muda na sisi kama wewe hivi unavyojibu maoni na mawazo yetu bila kuangalia nani kasema.Na wewe pia, kila nikienda kwenye kurasa za wizara zenye dhamana na maeneo husika sioni haya maoni na ushauri. Nagundua tu kuwa, ama hamfahamu vema wapi pa kufikisha maoni haya au basi tu hamtaki kuona mimi na breathe 😆 kwa kuhakikisha kila changamoto mna connect na wizara hii ya Maendeleo ya jamii. Kwa utaratibu huu, mtatoa maoni kila siku na mimi sasa nitaanza kuwatazama tu napita hivi...... 😷 . Iwapo dhamira ni njema, basi iendane na kufahamu wapi pa kufikisha sauti gani kwa ufanisi zaidi... Ahsante sana
Salaam, kwenye safari ya uongozi, kukubalika na kutokubalika ni vipindi pacha. Halafu huwakumba wengi Sana kama siyo wote tu ikiwemo mitume wa Mwenyezi Mungu mwenyewe maana, wengine walisulubishwa, wakauliwa mauaji ya aina mbalimbali ila, baade tena wanadamu wale wale wakageuka kupokea na kusimulia matendo yao makuu. Hata wewe, ukiwa kiongozi, vipindi hivi vitakukuta tu cha msingi, simama kwenye mstari unaoamini huu nina sababu nao kisha, ungoje wakati. Ahsante sana, tuendelee kushirikiana daima.Binafsi sikuwa nakukubali hata kidogo wakati ukiwa wizara ya afya (hii ilichangiwa na kuwaamini zaidi waliokuwa wakipika data hovyo juu ya serikali ili kuichafua) lakini baada ya kufuatilia utendaji wako na mtu usiyekuwa mstari wa mbele kuhakikisha angalau kwa uchache unajumuika nasi humu, naomba Mungu anisamehe kwa nilivyokuwazia. Ubarikiwe sana kwa kazi yako iliyoacha alama. Upande wa jinsia na watoto umeutendea haki. Ajaye hapo kama sio wewe, ajiandae kujibu iwapo viatu vitapwaya.