Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.
Its very unprofessional!
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na wengine kwa kuchapisha habari za upande mmoja na kusema upande mwingine umekataa kutoa ushirikiano.
Its very unprofessional!