mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Salary inaanzia dola ngapi kwa mwezi?Ni kazi ambazo haziitaji elimu yoyote, ni Kama vile kuhamisha mizigo mfano bizaa kutoka kweNye magari kuingiza super market, kubeba maboksi kutoa sehemu 1 kwenda sehemu nying, kufanya usafi super market, kupanga bidhaa super market n.k Yani kwa kifupi ni kazi za kuzaraulika zisizohiyaj elimu ila kwa Ulaya watu kupitia kaz hizo wanaishi wanajenga na kusomesha watoto kwa huku kwetu Africa.
Heshima inaanzia kwenye pesa kwanza kabla ya mambo mengine
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app