kabisa huwa ndio inavyokuwa, halafu baada ya siku mbili unamwona katuna na jamaa yuleyuleGaga kwa hiyo umekiri kabsaaa kua mashosti wanatibua mambo some times sio?
Roger that...............!!Copy that hommie kuna ishu mbili tatu zimenihold yaani baba paroko anacheza kwenye 18 na mimi
kabisa huwa ndio inavyokuwa, halafu baada ya siku mbili unamwona katuna na jamaa yuleyule
Ndio kusema wako Protective au wanaona you will be taken for grantedMachalii ndio kabisa huwa wanasikia wivu ukitongozwa hivo wanaweza hata kupiga mtu ngumi
Ahaa ahaaa kudadadekiikabisa huwa ndio inavyokuwa, halafu baada ya siku mbili unamwona katuna na jamaa yuleyule
Kuna wengine inawatokea tena wanakuwa hata hawajijui kabisa wanakuwa wanaona ni sawa tuUtaanzia wapi wakati mimi mtaji wangu natembea nao mwenyewe. Nahisi sijaelewa mada hiii.
Ohoo!!! Yes hiyo mbona ipo sana tu, kidume hadi simu za huyo mrembo kinapokea yeyekaka ukiona kidume kinajifanya rafiki na mrembo
ujue na che nyewe kinataka ila hakina ujasiri wa kuwa wazi....
Kuna wengine inawatokea tena wanakuwa hata hawajijui kabisa wanakuwa wanaona ni sawa tu
Yule mnene mbona ndio huwa anapendwa kila tukizuka pale tip topHivi mashostito zako hasa yule mnene ana mashauzi kweli dah
Ohoo!!! Yes hiyo mbona ipo sana tu, kidume hadi simu za huyo mrembo kinapokea yeye
Wivu uliochanganyika na yote hayo. wanakuwa over proctectiveNdio kusema wako Protective au wanaona you will be taken for granted
Halafu sasa wale ambao sio wakali huwa wanakuwa na maamuzi na nguvu za ajabu kwa yule mmoja mzuri yaani kudadekii akisema hivi wala hata habishi twende huku binti anasonga, sitaki sijui nikuone unaongea na fulani binti sawa, swali akiulizwa binti yeye ndio anakuwa mjibu maswalikaka nimekubali kweli umekutana nazo hizi
mimi niliwahi kujaribu kumtokea dada mtu,pata picha
wadogo zake wakajifanya eti wameshachelewa..
yaani mimi nauliza swali like unaishi wapi...
kabla hajajibu wanaingilia like fanya haraka twende bana....
yaani....
Na wewe hujambo kwa mitongozokaka nimekubali kweli umekutana nazo hizi
mimi niliwahi kujaribu kumtokea dada mtu,pata picha
wadogo zake wakajifanya eti wameshachelewa..
yaani mimi nauliza swali like unaishi wapi...
kabla hajajibu wanaingilia like fanya haraka twende bana....
yaani....
Najua huwa anapendwa sababu ya taarabu yule, maana likianzwa kupigwa sebene la taarabu naona kila kidume huwa anamtolea machoYule mnene mbona ndio huwa anapendwa kila tukizuka pale tip top
Ahaaa ahaaa THE BOSS himselfNa wewe hujambo kwa mitongozo
Halafu sasa wale ambao sio wakali huwa wanakuwa na maamuzi na nguvu za ajabu kwa yule mmoja mzuri yaani kudadekii akisema hivi wala hata habishi twende huku binti anasonga, sitaki sijui nikuone unaongea na fulani binti sawa, swali akiulizwa binti yeye ndio anakuwa mjibu maswali
Unapenda mizigo sana utamweza??? ana furushi kama kasingiziwahuyo mnene uje nae basi