Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,117
Yote yawezekana kuna kuwa mrembo ukiweza kumaintain mwili kuna kuwa kifutu tumbo huku nyonyo kule kama ni mtu wa kufakamia misosi....
mara ndizi nyama,uji wa ulezi,kichuri, supu jioni na asubuhi,vita malta,siku nyingne mara aagize castle lager(VYOTE HIVYO VILIKUWA VINAAGIZWA NA WIFI YENU ALIPOJIFUNGUA) Matokeo yake kawa kibonge chupi,magaguro na nguo zake nyingne hazimtoshi,SASA HIVI AMEKUWA ANAJIHISI MBAYA KUTOKANA NA UNENE WAKE.