Hahahah...
Ooh yeah douta...ukitaka kuendelea utaninong'oneza eenh wengine wasisikie
Hahaha nikajua mkuu labda unatokea kifasi ya Lubumbashi au Kinshasa...
Daddy... Hujui tu??? Anyway ntakupm kwenye ile ID ya mum make yako iko Inactive!
Kumbe bado hujazaa ntakutafuta tuongee ishu moja hivi.
Kumbe na mie ka soko kangu kanaweza kuwa kameongezeka baada ya kujifungua eeee... ngoja nikianza kutoka ndani ntajua
we ushalegeaaa tulia ndani tu
Nyie mna exaggerate tu. Mara nyingi gari ikishusha injini. Haiwi the same tena. Ndio mwanamke akizaa anabadilika atapendeza lakini hatakuwa kama alivyokuwa msichana.
Ni maumbile tu wajameni na wala sio kitu na vile vile kama wewe ni mwanaume pia unabadilika ukishaanza kuwa na familia . Hatuweiz kubakia wale wale hata siku moja. Kuvumiliana tu jamani.
Nimewahi kuliona hili, baadhi ya warembo wakishajifungua wanazidi kupendeza hata kuliko kabla hawajapata ujauzito.
Hii tetesi ina ka ukweli,
Mdada akizaa uzao wa kwanza, kama ni mrembo..
Urembo unaongezeka na kama sio mrembo ndiyo anakuwa mrembo..
Lol my miss chagga....sipati picha.
hahahahaha lol!!!! mie natokea fashi hii hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Hii tetesi ina ukweli?
Mdada akizaa uzao wa kwanza, kama ni mrembo, urembo unaongezeka na kama sio mrembo ndiyo anakuwa mrembo.
Lol my miss chagga....sipati picha.
Ila inategemea na matunzo baada ya uzazi
Natamani kuzaaa but nilivyo figureless sijui itakuaje
katika mambo yanayoniwazisha ni hilo mmmmh ila sasa nitafanyaje
na nyonga zinalainika sana.