Msichana akizaa uzuri unaongezeka

Msichana akizaa uzuri unaongezeka

usihofu nimeshaanza kuchukua hatua ila mrejesho ni mdogo mno wa kupungua labda nianze kumpa stress inaweza saidia

mmh usimpe stress bana katoto katakosa maziwa, mtu akiwa na mastress hata maziwa hayatoki.....
diet tu hivo hivo mdogo mdogo
 
watu kwa kutafuta huruma hamjambo!! Kinachotafutwa hapo ni Huruma kutoka kwa single mamazi.... Kazi Mnayoo
 
Ni kweli mkuu,kuna rafiki yangu nilikutana nae juzi alikuwa mzuri kuliko kipindi cha nyuma nilivyomuuliza mbona siku hizi umekuwa mzuri zaidi akanijibu kuwa ni uzazi!
 
Kutakua na ukweli flani. sasa hiv watu wanaoniona wananishangaa wanasema hips limeongezeka na tumbo limepungua. Hata mwili umepungua pia tofauti kabla cjazaa nilikua kibonge zaidi ila sasa hiv shape inaonekana vizuri zaidi. Ila nahisi tunaokuaga warembo zaidi ni single moms si maana tunaangalia other opportunities so lazima kupendeza.
 
Kuwa mrembo/ kutokuwa mrembo baada ya kujifungua lipo mikononi mwako mwenyewe. Ukijiachia utachusha. Ukipangilia mlo na kujiweka safi, kuexercise kidogo utakuwa mrembo kuliko hata kabla hujajifungua

Kuna watu hawana wtt, na hawana mvuto pia na njiani wanasalimiwa mama hujambo wkt labor ward hawaijui. umri wa kuzaa ukifika ni bora uwe na kababy kako
eti umri standard wakuanza kuzaa ni upi
 
Kutakua na ukweli flani. sasa hiv watu wanaoniona wananishangaa wanasema hips limeongezeka na tumbo limepungua. Hata mwili umepungua pia tofauti kabla cjazaa nilikua kibonge zaidi ila sasa hiv shape inaonekana vizuri zaidi. Ila nahisi tunaokuaga warembo zaidi ni single moms si maana tunaangalia other opportunities so lazima kupendeza.
Mzigua umejapamba sana...shee
 
Back
Top Bottom