ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 6,200
- 15,064
Huu ndo ukweli, mtoto anarithi akili za mama, mama akili ovyo kichwani tegemea na uzao wako utakuwa hovyo.
Mungu hakupi vyote, huwezi kukuta mwanamke mrembo akawa vizuri kichwani, ana uzuri lakini kasoro yake ni akili.
Utakuta wanawake warembo watakuzalia watoto darasani hata umpe mwalimu wake haelewi chochote sababu ya akili mama.
Matajiri na wanasiasa wanaotafuta wa kuwarithisha mwanamke mzuri watamtumia kama kujistarehesha lakini kuoa ni never, Kwa sababu wanaijua hii Siri
Utakaa tujiulize huyu tajiri Kwa pesa zote hizi yani ndo akaamua aoe hichi kitu 🤣😅
Nitakupa mfano
Wake wa Marais wote watazame sio warembo sana me ningekuwa Rais nashindwa Nini kwenda hapo Rwanda, au saudia nikachukua mrembo wa kiarabu ila wenzetu aah.
Matajiri wengi duniani japo sio wote Huwa wanaoa wanawake wa kati tu
Nawaasa vijana hawa wanawake warembo watumieni usijidanganye kuwapa kabisa