tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
utakuwa figured...
Huu mwaka hautaisha bila kuwa na mimba next year nitatoa majibu how figured will b.
utakuwa figured...
Tetesi yako inategemea urembo upi? Kama unadefine urembo kwa ubonge hapo sawa ila kuzaa disfigure sehemu nyeti. Hili ni bora likawekwa wazi.Hii tetesi ina ukweli?
Mdada akizaa uzao wa kwanza, kama ni mrembo, urembo unaongezeka na kama sio mrembo ndiyo anakuwa mrembo. Lol my miss chagga....sipati picha.
kaka,
hivi fasihi ndiyo literature kwa kiingereza?
Upo sahihi kabisa maana mie mwenyewe Kabla ya kupata mtoto nilikuwa tofauti na sasa ukizaa kwanza mwili utanuka na Kama ndio mungu alikujalia basi Mara mbili yake na sura Pia inakuwa na nuru
hapa ulitaka kumtaja The Boss huyu huyu?
Kumbe bado hujazaa ntakutafuta tuongee ishu moja hivi.
Natamani kuzaaa but nilivyo figureless sijui itakuaje
My dear ikifika time jizalie upate furaha ya moyo watoto wanaleta furaha sana usiogope kisa huna shape ila mungu amekupa kitu kizuri ambacho wazuri wa maumbo hawana....
Kila siku najisemea sina uzuri wa kushtua ila najisifu nna HEART najiproud kwa hili.....
Mmmhhh ngoja na mi nizae nione
Kuwa mrembo/ kutokuwa mrembo baada ya kujifungua lipo mikononi mwako mwenyewe. Ukijiachia utachusha. Ukipangilia mlo na kujiweka safi, kuexercise kidogo utakuwa mrembo kuliko hata kabla hujajifunguaWe hunishindi mimi aisee nawazaga hadi nachoka kabisa
na wewe ni KE?
kweli mamy......yani hapa nikimwangalia mwanangu....duh nasemaga asante Mungu.....mwezi wa 10 anatimiza miaka 2.
mimba ya nani tinna cute?Huu mwaka hautaisha bila kuwa na mimba next year nitatoa majibu how figured will b.
uongo gani tena?
ha ha ha mbavu zangu mie et chupi magaguro hayamtoshi
sa si umsaidie kufanya diet ha ha ha