Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

bro mada ni wimbo mpya.

lakini si ni kweli anatafuta mafanikio yake!au hujui kushiriki wasafi ni kufanikisha biashara za mwingine zaidi yako?
Kwani hatapata na yeye hela? Mbona Wizkid anashiriki kwenye tamasha la mondi.
 
Kiba ana safari ndefu Sana ya kufanya vizuri Tena kwa style yake ya mziki hataweza kuongoza mashabiki kwenye mziki wake na ameshindwa kuendana na soko.Beat ya hii ngoma sijaipenda Melody si nzuri ila kwenye mashairi kafanya poa Ila wa sasa unataka kwanza beat nzuri, good Melody hata Kama mashairi yako ni ya kawaida.
ndio maana kuna wasanii zaidi ya 50 tz.inamaana umekosa nyimbo ya kucheza kwa wengine 49 hata singeri mpaka uje kutafuta mdundiko kwa kiba!!!
 
Uzuri wa nyimbo za huyu jamaa, Zina ujumbe murua na unaweza sikiliza popote hata na watoto na mkweo,.. Kwa hilo nampongeza sana,.. Nyimbo nzr saaana, maana ametufufua na wengine tusikilizie bongo fleva
Soko la muziki kwanza linataka beat nzuri pili Melody nzuri hata Kama mashairi utazingua ndo maana ngoma za davido,Wizkid zinafanya vizuri hapa bongo ingawa lugha wabongo hawaelewi ukija kwenye ngoma hii ya kiba beat sio nzuri, Melody ya nyimbo sio nzuri ingawa kwenye mashairi kajitahidi.kutokana na kukosekana vitu hiv viwili beat na Melody nzuri inafanya ngoma isiwe hit.
 
faida anayoipata wizkid ni ndogo kuliko anayoipata mond.
hujui tu ni jinsi gani faida ingekuwa kubwa zaidi kwa mond baada ya kiba kukubali kwenda hapo.
Basi Kama ni hivyo kiba atakuwa ana chuki zaidi na wivu kwa mondi kuliko kutengeneza pesa.
 
Huyu kijana wenu,anasafari ndeefu sana mpaka amfikie Mond,ameulizwa swali kwanini hataki kushiriki tamasha la wasafi,yeye anajibu hawezi kushiriki kwa sababu na yeye anatafuta mafanikio yake,sasa kushiriki au kutokushiriki kuna madhara gani yawe hasi au chanya kwenye maendeleo yake!?
Ushiriki wake unamletea VP mafanikio hasi?

Unaelewa business na principles za ushindani !!!...
Diamond mwenyewe ni mjanja sana ndio maana anatumia udhaifu wa Kiba kulipa promo tamasha lake maana anajua word of mouth ina impact kubwa kuliko hata hizo promo za redioni
 
Guyz yule mfalme wa Bonho fleva anayejulikana kama The king Him self Ally Salehe Kiba ametowa goma lake jipya linalokwenda kwa jina la Mshumaa sio siri ngoma ni ya moto sana haichoshi kusikiliza sijajuwa mpaka sasa Audio ame copy kwa nani na video ame copy kwa nani he is the ni goma kali sana wanangu twendeni tukaliangaliye You tube huko

Mambo ya team haya juz juz tu kaongezeka watatu ,UNO
 
Takataka..!
Huyu na mwenzake "mwizi wa penseli" wameshaishiwa kimuziki, yamebaki majina tu..!
 
Kiba ana safari ndefu Sana ya kufanya vizuri Tena kwa style yake ya mziki hataweza kuongoza mashabiki kwenye mziki wake na ameshindwa kuendana na soko.Beat ya hii ngoma sijaipenda Melody si nzuri ila kwenye mashairi kafanya poa Ila wa sasa unataka kwanza beat nzuri, good Melody hata Kama mashairi yako ni ya kawaida.
Kila akitoa nyimbo zake huwa nazungumzia hiki kitu. Nadhani unaweza kuona ngoma ya Aje ilivyo hit ni kwasababu beat ilikua imetulia lakini haya masebene sijui bolingo beat anazotoa zinamharibia nyimbo. Ajue sio wote wanenguaji ila wote wanaweza kucheza
 
Takataka..!
Huyu na mwenzake "mwizi wa penseli" wameshaishiwa kimuziki, yamebaki majina tu..!

Nikisikiliza wimbo wa Raha wa marioo kuanzia melodies, mashairi na beat. Huwa najua tu hizi mainstream media zinawafifisha sana watu wanaofanya vizuri ili zipate viewers
 
Nikisikiliza wimbo wa Raha wa marioo kuanzia melodies, mashairi na beat. Huwa najua tu hizi mainstream media zinawafifisha sana watu wanaofanya vizuri ili zipate viewers
Ni suala la muda tu mkongwe...
Hawa jamaa wataanza kupotezewa, acha wamalizie malizie muda wao..!
 
Hii ngoma kali sana ... kuanzia instrumental,melodies mpaka lyrics.

Tatizo washamba wengi walisha set mind zao kuwa nyimbo lazima iwe na miondoko ya fujo fujo kama chuchumaa, tetema, nyegezi, baba lao, uno na upuuzi puuzi mwengine.
 
Huyu kijana wenu,anasafari ndeefu sana mpaka amfikie Mond,ameulizwa swali kwanini hataki kushiriki tamasha la wasafi,yeye anajibu hawezi kushiriki kwa sababu na yeye anatafuta mafanikio yake,sasa kushiriki au kutokushiriki kuna madhara gani yawe hasi au chanya kwenye maendeleo yake!?
Ushiriki wake unamletea VP mafanikio hasi?
Kuna mpotezea muda wakati ana mengi ya kufanya kwa wakati huo.
Maana yake hawezi acha nyumba yake iwake moto akazime ya jirani.
Yupo sahihi.
Akithubutu kusimama jukwaa moja na mond kaisha.
Yule jamaa sio mtu mzuri nyie muangalieni kwa macho ya kibinadamu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom