Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

Uzuri wa nyimbo za huyu jamaa, Zina ujumbe murua na unaweza sikiliza popote hata na watoto na mkweo,.. Kwa hilo nampongeza sana,.. Nyimbo nzr saaana, maana ametufufua na wengine tusikilizie bongo fleva
kunajamaa akiimba nyimbo za aina hii inasemekana anaimba mapenzi tuu cjui kwa huyu iimekaaje
all in all mshumaa ipo vzuri
 
Wcb wanaweza mlipa wizkid na Tiwa savage wakashindwa kumlipa Alli....?
wanaweza hata kumlipa hata justine bieber,ila swala la kukubali inategemea msanii husika anajisikiaje kuperform,pesa haiamui kila kitu.

inawezekana kabisa hata wamemshawishi kwa pesa nyingi hata 50,lakini bado hajajisikia sawa kuperfom.
 
Hhuyu jamaa anacheksha kwel. Kiba alikua msanii mkubwa ila naona kama anazid kupogea. Wimbo mbovuuuuuuu kabisa. Yana anaimba kama undervround. Tunamhitaji yule kiba wa kwenye mac muga.... Kiba wa mapenz yana run dunia. Ila huyu kiba wa sa iv inaonekana ana msong wa mawaz kutokana na ugum wa gem. Yani anaimba kama samir kabisa. Afu maRa kama kili...yani simuelwe kabisa fhough m fana wame ila anahitaj mabadlko .....nalogout. fazz
 
Hii ni biashara wanatazama walio wengi wanapenda nini. Hujiulizi kwanini ngoma za wanaija zinahit sana hapa kwetu hata wanachoimba hakieleweki?
Hata kwao kuna wasanii kama Simi ni wakalai lakini hawamake kama akina davido.
So tusilaumu sana media kwakuwa lengo lao siyo kukufurahisha tu, pia waingize pesa nyingi
Nikisikiliza wimbo wa Raha wa marioo kuanzia melodies, mashairi na beat. Huwa najua tu hizi mainstream media zinawafifisha sana watu wanaofanya vizuri ili zipate viewers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuko 2020 lakii wimbo bado mzuri uwa simwelewi Kiba ila akipatia anapatiaga kweli huu amepatia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom