Kiba ana safari ndefu Sana ya kufanya vizuri Tena kwa style yake ya mziki hataweza kuongoza mashabiki kwenye mziki wake na ameshindwa kuendana na soko.Beat ya hii ngoma sijaipenda Melody si nzuri ila kwenye mashairi kafanya poa Ila wa sasa unataka kwanza beat nzuri, good Melody hata Kama mashairi yako ni ya kawaida.
Pumbaaavu wewe kamweleze mumeoNenda kajifunze kwanza kusoma,huwa sibishani na wajinga ambao hawajui hata kusoma...iulize tena iyo akili yako iliyojaa makamasi ikuoneshe wapi nimeandika "kuzalisha"... Or umezoea kuzalishwa zalishwa so kila unachokiona mbele yako akili yako inaona kuzalishwa...enhee nambie mpaka sahivi umezalishwa watoto wangapi na wanaume waliokupitia???
Mi wakiume wewe,tuliza mshono,usiwe unakurupukia vidume,utazalishwa wewePumbaaavu wewe kamweleze mumeo
Afanye vizuri mara ngapi ?
Kidume mkung'utwaji jicho au?Mi wakiume wewe,tuliza mshono,usiwe unakurupukia vidume,utazalishwa wewe
Soko la muziki kwanza linataka beat nzuri pili Melody nzuri hata Kama mashairi utazingua ndo maana ngoma za davido,Wizkid zinafanya vizuri hapa bongo ingawa lugha wabongo hawaelewi ukija kwenye ngoma hii ya kiba beat sio nzuri, Melody ya nyimbo sio nzuri ingawa kwenye mashairi kajitahidi.kutokana na kukosekana vitu hiv viwili beat na Melody nzuri inafanya ngoma isiwe hit.
Huwezi ona kipya mkuu,
'Kipofu' huwa haoni.!!
Hekima ni kama mwanga uipitavyo giza... Mimi napendelea ujumbe unaonitafakarisha, unaonigusa, ninaoweza kujifunza kitu,... Ndio maana sisi baba zenu tulikua tukizitumia nyimbo kama dedication kwa mtu wako,.. Maana alikua akipata ujumbe mbadala,.. Hayo mambo ya beat, sijui voko etc.. Hivyo ni nyie msiyejua mnachokitafuta,.. Sasa nisikilize beat na wimbo unaomsifia Amber rutty,.. "paka mate iteleze kama nyoka pangoni, nyege nyegeeee,.." niko na mwanangu nasikiliza beat tu... Ujinga huu kawaambie unaofanana nao kwa akili.
Lini ambayo hajawahi kuzingua kwako?
Eti hakufikishi kileleni.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo poa, leo ni mwendo wa mshumaa tuu.
Labda ni nyimbo gani usiyoweza angalia na familia yako..?Washabiki vipofu, kule fb kwenye page moja ya diamon wamepost baba lao... Kuwa na followers wengo raha sana, asilimia 90 watu wameponda hiyonyimbo, tena hadi wasio watanzania! Diamond ni mwanamuziki mzuri sana, lakini recently amekuwa siyo yeye tena, hajiamini, anaogopa kujifungia na kutenfeneza vitu original kama zamani, anaiga wanaijeria mwanzo mwisho! Bila ushabiki wowote, Mshumaa ni nyimbo nzuri mno, original, inaskilizika, yakistaarabu, naangalia video na familia nzima bila shida
Karibu usikilize hiphop utapata ujumbe unaohitaji na itakufanya utafakari kwa upana zaidiHekima ni kama mwanga uipitavyo giza... Mimi napendelea ujumbe unaonitafakarisha, unaonigusa, ninaoweza kujifunza kitu,... Ndio maana sisi baba zenu tulikua tukizitumia nyimbo kama dedication kwa mtu wako,.. Maana alikua akipata ujumbe mbadala,.. Hayo mambo ya beat, sijui voko etc.. Hivyo ni nyie msiyejua mnachokitafuta,.. Sasa nisikilize beat na wimbo unaomsifia Amber rutty,.. "paka mate iteleze kama nyoka pangoni, nyege nyegeeee,.." niko na mwanangu nasikiliza beat tu... Ujinga huu kawaambie unaofanana nao kwa akili.
sio nyimbo ya mapenzi..?Good song, unaenjoy kusikiliza yani
Akiimba yule jamaa mwingine mnasema anaimba mapenzi tu akiimba huyu jamaa wimbo ni mzuri unaweza sikiliza hata na wazazi or watotoTrue dat huu wimbo uusikilize ukiwa katika ka ist kako huku kamvua kananyesha hadi raha mkuu, wimbo mzuri sana
we umemuangalia kwa macho yapi..?Kuna mpotezea muda wakati ana mengi ya kufanya kwa wakati huo.
Maana yake hawezi acha nyumba yake iwake moto akazime ya jirani.
Yupo sahihi.
Akithubutu kusimama jukwaa moja na mond kaisha.
Yule jamaa sio mtu mzuri nyie muangalieni kwa macho ya kibinadamu tu
...?Copy na kupaste huwa nazidharau sana.
Inaonyesha ni jinsi gani msanii kaishiwa.
Huwa wanafanyaga underground
...?Copy na kupaste huwa nazidharau sana.
Inaonyesha ni jinsi gani msanii kaishiwa.
Huwa wanafanyaga underground
Wcb wanaweza mlipa wizkid na Tiwa savage wakashindwa kumlipa Alli....?hiyo ni biashara bro,ukiingiza mambo personal ama mitazamo ya chuki nk utakuwa unafanya vitu vingine kabisa.
labda nikuulize kiba anaweza lipwa na wcb zaidi ya mill 10?kwa show moja?