Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Hahahaha eti mpaka penseli yetu ipatikane,Nimeamini kweli kiba hapendi show off.
Yaani jamaa kaachia wimbo jana lakini kwenye mkutano wake na waandishi wa habari hakugusia hata hili suala la wimbo wake ili atengeneze mapokezi makubwa.
Ila kajitahidi sana kwenye wimbo huu hongera zake maana ametuambia ana nyimbo zaidi ya 60.
Now team kiba tukae mkao wa kula, ni ngoma baada ya ngoma mpaka penseli yetu ipatikane.
Hata wakizima taa Mshumaa tunao.