data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,945
- 23,891
😂😂😂😂😂Aisee huyu jamaa ananifanya nashindwa kulala na hii ngoma yake.
Yaani ni kitu kipya kabisa masikioni
😂😂😂😂😂Aisee huyu jamaa ananifanya nashindwa kulala na hii ngoma yake.
Yaani ni kitu kipya kabisa masikioni
HahaaaBashite baba lao nakataa...kutundika mimba mpaka msaada wa test tube
Kwako kuongea vizuri mbele za watu ndo kupi...or kuwazalilisha ma x na wanawake wako in public kama yule mwingine we ndo unaona ni kuongea vizuri??Kuimba sawa lakini kuongea mbele ya watu Ni ujinga mtupu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa mgomvi sanaBashite baba lao nakataa...kutundika mimba mpaka msaada wa test tube
Huyu kijana wenu,anasafari ndeefu sana mpaka amfikie Mond,ameulizwa swali kwanini hataki kushiriki tamasha la wasafi,yeye anajibu hawezi kushiriki kwa sababu na yeye anatafuta mafanikio yake,sasa kushiriki au kutokushiriki kuna madhara gani yawe hasi au chanya kwenye maendeleo yake!?Guyz yule mfalme wa Bonho fleva anayejulikana kama The king Him self Ally Salehe Kiba ametowa goma lake jipya linalokwenda kwa jina la Mshumaa sio siri ngoma ni ya moto sana haichoshi kusikiliza sijajuwa mpaka sasa Audio ame copy kwa nani na video ame copy kwa nani he is the ni goma kali sana wanangu twendeni tukaliangaliye You tube huko
Aisee huyu jamaa ananifanya nashindwa kulala na hii ngoma yake.
Yaani ni kitu kipya kabisa masikioni
bro mada ni wimbo mpya.Huyu kijana wenu,anasafari ndeefu sana mpaka amfikie Mond,ameulizwa swali kwanini hataki kushiriki tamasha la wasafi,yeye anajibu hawezi kushiriki kwa sababu na yeye anatafuta mafanikio yake,sasa kushiriki au kutokushiriki kuna madhara gani yawe hasi au chanya kwenye maendeleo yake!?
Ushiriki wake unamletea VP mafanikio hasi?
kasikilize baba lao.imeimbwa tofauti kidogo na nyingine labda utaelewa.Uchafuzi wa bando tu, mtu anaimba style ile ile ya cinderella 10 years later. Hii ni 2019 mazee
Uchafuzi wa bando tu, mtu anaimba style ile ile ya cinderella 10 years later. Hii ni 2019 mazee