Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

Honestly nimependa maneno aliyotumia kufikisha ujumbe, yanagusa mpaka kumoyo hasa kama bahati mbaya upo kwenye ile phase ya 'maumivu per day' then this song is obviously on a repeat mode just automatically.!!
Yaani we acha tu,wimbo huu umefanya nivute kumbukumbu za miaka 10 nyuma nilipoumizwa kwa mara ya kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom