nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,478
- 8,144
Hawezi imba kumfurahisha kila mtuKiba ana safari ndefu Sana ya kufanya vizuri Tena kwa style yake ya mziki hataweza kuongoza mashabiki kwenye mziki wake na ameshindwa kuendana na soko.Beat ya hii ngoma sijaipenda Melody si nzuri ila kwenye mashairi kafanya poa Ila wa sasa unataka kwanza beat nzuri, good Melody hata Kama mashairi yako ni ya kawaida.