Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

sema hawana sifa xa kijinga na kujiona wana hela! Ila kwa taarifa yao wanaowachukia wasukuma watasubiri sana! Wanatunza tamaduni na maisha wanatengeneza vizuri tu!
Uko sahihi...
 
Kweli kabisa watoto wengi ndo mtaji wa sukumagang.Mwishowe umegeuka kuwa mtaji wa kisiasa.

Unajua **** watu miaka ya nyuma waliwachukulia poa sana! Lakini saizi hawaamimi kimachotokea kwenye shule wapo wa kutosha, biashara wapo, kilimo wapo,madini ndo usiseme wameteka mpaka basi! Sasa wakioma hivo hawapendi wanatamani muundelee kuchunga ng'ombe kama zamani! Wanasahau usemi mtu utamdanganya lakini sio siku zote!
Kweli kabisa hasa kwenye madini ni wengi Kama mchwa.
 
Wangelikuwa ni wachagga ungekuta tayari sera za nchi zimebadilishwa kama Nyerere alivyohangaika 1967 na Azimio la Arusha na kupora mali za watu, akilenga akina mangi, kutaifisha mashule, 1977 kunyang'anya mikoa madaraka akilenga Kilimanjaro na kufunga vyama vyote vya ushirika akilenga KNCU. Watu wanatofautiana muulize JPM aliwaogopa wahindi au akina nani?
Sithani kama JPM alimuogopa mtu
 
Mtaji wa msukuma ni kuzaa watoto wengi na kuwafundisha kupiga kazi.Ndiyo maana Magufuli alisisitiza kufanya kazi alimaanisha kujijengea uchumi imara, waliomuelewa Leo wana mitaji.Wale wavivu hadi leo wanazungumzia misaada ili kujenga nchi
Kuna mada za kipumbavu sana humu, sasa kama mpo wengi mnataka nini? Si mfanye kazi muondoe umasikini? Waarabu na Wahindi ndio wanashikilia uchumi wa Tz lakini ndio wachache kuliko kabila lolote, hawafiki hata 0.1% ya Hao wasukuma. Muwe wengi inawasaidia nini? Mpo kwenye vita na Watanzania wengine?
Moderator Maxence Melo mbona mnaruhusu mada za kipumbavu humu?
 
Katavi asilimia kubwa kwa sasa imejaa Wasukuma, maeneo ya Bonde la Karema, Ikola,Inyonga, Kibaoni, Mpanda mjini, Mwese.
Nataka nianzishe NGO niwashawizi na kuwaambia umuhimu wa kwenda jando
 
Nafikiri ukabila tuuache! Maana watu wanaowafanya wasukuma wawe wakabila ni wachaga kuwachokonoa kila siku baada ya kuona wasukuma wako vizuri saizi kila idara! Hata Mbowe aliraramika sana juu ya Magufuli ila ukweli ni kwamba wasukuma huwezi kuwaepuka kwenye idara zote nchi hii!
Jiwe aliwabeba sana mama anawahasi mnalalama chini kwachini
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Wewe nawe ni msukuma?
 
Nataka nianzishe NGO niwashawizi na kuwaambia umuhimu wa kwenda jando
Ni jambo zuri na kwa kuwa wamechanganyikana na makabila mengine itakuwa ni rahisi wao kukubali na kuachana na tamaduni hiyo mfu. Muhimu wewe ni kujipanga. Karibu sana huku.
 
Ni jambo zuri na kwa kuwa wamechanganyikana na makabila mengine itakuwa ni rahisi wao kukubali na kuachana na tamaduni hiyo mfu. Muhimu wewe ni kujipanga. Karibu sana huku.
Kwenu mnaenda jando kwa muda gani?
 
Pumbavu zako Ww , hata Kama angekuwa Mganda au mkongo kikubwa nchi ameiingiza uchumi wa Kati , Mbona Akufu Ado wa Ghana Alikuwa na asili ya China? Mbona Obama asili ya China, Mbona Trump asili ya Ujermani? Mbona Biteko asili ya Rwanda, mbona Samia asli ya Omani? Mbona Joseph Mungai asili ya Kenya. Kikubwa letea masirahi nchi yetu,
Mkuu hapo kwa obama na ado maelezo tafadhari
 
Back
Top Bottom