Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

Kama huna kabila kaa kimya
Mkuu tuliza boli, enzi za ukanda na ukabila zimekwisha kupitwa na wakati. Fanya kazi kwa bidii na pia jifunze kwa watu wengine, ikiwezekana iga mambo yao mazuri pasipo kujali wanatoka eneo gani.
 
Issue siyo Wasukuma, issue ni kwamba Watanzania tumemkataa shetani na mambo yake yote, huyo shetani alitumia cover ya usukuma kama kabila kubwa kuficha maovu yake ilihali inajurikana wazi ni Mrundi.

Bahima Empire imefeli vibaya, watafute strategy nyingine, sasa hivi tuko bize kuwachomowa wote waliojipenyeza ndani ya system.

In short nchi iko kwenye mikono salama ya mama.

Swala la Mbowe ni dosari za muda, lakini kwenye umbo la nyoka ukikata kichwa umemaliza kazi.

Watanzania mna haki ya kutembea vifua mbele, tunapumuwa sasa ingawa kuna bado wanapitia magumu na uonevu, hizo ndio effect za kuwakabidhi nchi washamba.
Nafikiri ukabila tuuache! Maana watu wanaowafanya wasukuma wawe wakabila ni wachaga kuwachokonoa kila siku baada ya kuona wasukuma wako vizuri saizi kila idara! Hata Mbowe aliraramika sana juu ya Magufuli ila ukweli ni kwamba wasukuma huwezi kuwaepuka kwenye idara zote nchi hii!
 
Kuchukia kabila fulani kwa sababu zako binafsi ni ushamba na wivu, We are all Tanzanians regardless of our political affiliations, Love should be building blocks of our humanity,
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Kama ni Sukumaland nenda kaanzishe taratibu za Kisukuma ndio utajua kama ni Sukumaland au hapana
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Tupingane na siasa za hovyo Ila ukabila hapana wasukuma ni watanzania Kama sisi wapare sio haki kuwanyanyasa
 
Nafikiri ukabila tuuache! Maana watu wanaowafanya wasukuma wawe wakabila ni wachaga kuwachokonoa kila siku baada ya kuona wasukuma wako vizuri saizi kila idara! Hata Mbowe aliraramika sana juu ya Magufuli ila ukweli ni kwamba wasukuma huwezi kuwaepuka kwenye idara zote nchi hii!
Wachaga wana misifa sana
 
Mkuu tuliza boli, enzi za ukanda na ukabila zimekwisha kupitwa na wakati. Fanya kazi kwa bidii na pia jifunze kwa watu wengine, ikiwezekana iga mambo yao mazuri pasipo kujali wanatoka eneo gani.
Hata wasukuma wanafanya kazi kwa bidii ndiyo wamefika huko
 
Kweli katavi wasukuma wapo wengi, na Iyo mpimbwe uwepo wa bonde umewafanya kuhamia kwa wingi kufuata kilimo cha mpunga

Pia maeneo ya kasekese, luhafwe, igalukilo, baridia, infinsi, (mkoa wa katavi wasukuma wamejazana huko kuna kilimo cha pamba)

Sema ni wapuuzi sana, Wana ka ukabila
 
Umemchomoa nani ?
Unajua kuwa nusu ya baraza bado ni sukumaland
Duh!! Karne hii jaman kweli!!!!!
Wenzenu wanatafuta namna ya kuhama dunia wakaishi huko mars au mwezini ninyi bado mnatambika!!! Dah ama kweli mwafrika kalaaniwa mbinguni na duniani
 
Kweli katavi wasukuma wapo wengi, na Iyo mpimbwe uwepo wa bonde umewafanya kuhamia kwa wingi kufuata kilimo cha mpunga

Pia maeneo ya kasekese, luhafwe, igalukilo, baridia, infinsi, (mkoa wa katavi wasukuma wamejazana huko kuna kilimo cha pamba)

Sema ni wapuuzi sana, Wana ka ukabila
Walikutenga?
 
Duh!! Karne hii jaman kweli!!!!!
Wenzenu wanatafuta namna ya kuhama dunia wakaishi huko mars au mwezini ninyi bado mnatambika!!! Dah ama kweli mwafrika kalaaniwa mbinguni na duniani
Ni hao hao ukienda kwao wanakuita nyani
 
Walikutenga?
Watamtenga mjuba

Niliwahi fanya nao kazi sehemu flani bahati mbaya mkubwa flani akawa msukuma bas hadi Hawa ngamia wenzangu wakataka Leta ukabila kunitawala wapuuzi sana na Wana Ushamba sana
 
Ni hao hao ukienda kwao wanakuita nyani
Sasa usiwe nyan mtu mwenyewe ndo wewe unawaza matambiko karne ya 21 hii wakat wenzako wanawaza kwenda kutua kwenye jua??!!
Unatuangusha sana ndugu yangu.
 
Watamtenga mjuba

Niliwahi fanya nao kazi sehemu flani bahati mbaya mkubwa flani akawa msukuma bas hadi Hawa ngamia wenzangu wakataka Leta ukabila kunitawala wapuuzi sana na Wana Ushamba sana
Acha upuuuzi wataendelea kukufanyisha kazitu!
 
Back
Top Bottom