Mbwa kala mbwa
Kama yupo kama kibarua sawa ila nakwambia Njombe hakuna mapori ya bure ya kudanganya wanakijiji kwa ng'ombe 1Msukuma yupo Unguja utakuwa Njombe?
Njombe hakuna mapori imejaa miti wapo songeo hukoKama yupo kama kibarua sawa ila nakwambia Njombe hakuna mapori ya bure ya kudanganya wanakijiji kwa ng'ombe 1
Walioko huko ni Wanyantuzu(aina ya Wasukuma)...ni fighters kweli hao,wakorofi wana jiaminiHuu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Fika mbeya na iringa ulete mrejesho sio wasukuma tu ndugu. Nchi hii ni yetu soteHuu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Sifa za kijingaHuu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Una mawazo ya kishambaWangelikuwa ni wachagga ungekuta tayari sera za nchi zimebadilishwa kama Nyerere alivyohangaika 1967 na Azimio la Arusha na kupora mali za watu, akilenga akina mangi, kutaifisha mashule, 1977 kunyang'anya mikoa madaraka akilenga Kilimanjaro na kufunga vyama vyote vya ushirika akilenga KNCU. Watu wanatofautiana muulize JPM aliwaogopa wahindi au akina nani?
MOROGORO, KATAVI, SHINYANGA, TABORA (NZEGA NA IGUNGA), GEITA, SIMIYU, MWANZA, RUKWA (SUMBAWANGA VIJIJINI NA KALAMBOO NA NKASI) kote huko ni usukumani. kundi la kwanza la WASUKUMA LIMESHAFIKA CONGO DRC-Fukwe za Ziwa Tanganyika na Zambia border na Kalambo siku nyingi sana. Wekeeni katika historia, baada ya miaka 100 hivi toka sasa makabila mengi ya Tanzania yatakuwa yamemezwa na Wasukuma.Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Imebidi nioe usukumani aisee, nimeangalia futureMOROGORO, KATAVI, SHINYANGA, TABORA (NZEGA NA IGUNGA), GEITA, SIMIYU, MWANZA, RUKWA (SUMBAWANGA VIJIJINI NA KALAMBOO NA NKASI) kote huko ni usukumani. kundi la kwanza la WASUKUMA LIMESHAFIKA CONGO DRC-Fukwe za Ziwa Tanganyika na Zambia border na Kalambo siku nyingi sana. Wekeeni katika historia, baada ya miaka 100 hivi toka sasa makabila mengi ya Tanzania yatakuwa yamemezwa na Wasukuma.
Tena fanya fasta.Imebidi nioe usukumani aisee, nimeangalia future
Atakuwa ameamua tu kujiweka mbali na mitandao labda! Mara ya mwisho kupost hapa ni May 2022.Sijamuona Nyani Ngabu muda mrefu sana. Hope he’s well.
Mbona husemi Kuhusu Nyanza na Shirecu ?Wangelikuwa ni wachagga ungekuta tayari sera za nchi zimebadilishwa kama Nyerere alivyohangaika 1967 na Azimio la Arusha na kupora mali za watu, akilenga akina mangi, kutaifisha mashule, 1977 kunyang'anya mikoa madaraka akilenga Kilimanjaro na kufunga vyama vyote vya ushirika akilenga KNCU. Watu wanatofautiana muulize JPM aliwaogopa wahindi au akina nani?
Chunya, Manyoni na Itigi yake kote huko sasa ni Sukumaland. Malagalasy na Uvinza ni Sukumaland kwa sasa.MOROGORO, KATAVI, SHINYANGA, TABORA (NZEGA NA IGUNGA), GEITA, SIMIYU, MWANZA, RUKWA (SUMBAWANGA VIJIJINI NA KALAMBOO NA NKASI) kote huko ni usukumani. kundi la kwanza la WASUKUMA LIMESHAFIKA CONGO DRC-Fukwe za Ziwa Tanganyika na Zambia border na Kalambo siku nyingi sana. Wekeeni katika historia, baada ya miaka 100 hivi toka sasa makabila mengi ya Tanzania yatakuwa yamemezwa na Wasukuma.
Bageshi. Ng'wagūkū...Walioko huko ni Wanyantuzu(aina ya Wasukuma)...ni fighters kweli hao,wakorofi wana jiamini