Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 2,690
- 5,315
naheshimu mawazo yako ila sio kweli, Sera ya ujamaa iliaffect kote na kulikuwa na vyama vya ushirika vingi tu na sio KNCU pekeeWangelikuwa ni wachagga ungekuta tayari sera za nchi zimebadilishwa kama Nyerere alivyohangaika 1967 na Azimio la Arusha na kupora mali za watu, akilenga akina mangi, kutaifisha mashule, 1977 kunyang'anya mikoa madaraka akilenga Kilimanjaro na kufunga vyama vyote vya ushirika akilenga KNCU. Watu wanatofautiana muulize JPM aliwaogopa wahindi au akina nani?