Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

Mataga unatapatapa
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
 
Hata Nguruvi3. Ingawa sina uhakika na anapotoka mwalimu wangu.
Nguruvi3 ni kweli hata yeye. Lakini yule mara nyingi sioni akianzisha threads mara kwa mara kama ilivyo kwa Nyani Ngabu . Kuna matukio mengi sana ambapo ni lazima angeanzisha thread. Ukimya wake siyo wa kawaida. I hope they’re all well , safe and sound.
 
Moshi imeongozwa na chadema kwa miaka 25
Ndio mahali unakuta watu wapo huru kimawazo na desturi zao na pia watu wa kule wanapenda maendeleo na hawategemei sana ndumba kama kwingineko.
 
Ila kila mwisho wa mwaka wanatoa makafara ya mbuzi
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Issue siyo Wasukuma, issue ni kwamba Watanzania tumemkataa shetani na mambo yake yote, huyo shetani alitumia cover ya usukuma kama kabila kubwa kuficha maovu yake ilihali inajurikana wazi ni Mrundi.

Bahima Empire imefeli vibaya, watafute strategy nyingine, sasa hivi tuko bize kuwachomowa wote waliojipenyeza ndani ya system.

In short nchi iko kwenye mikono salama ya mama.

Swala la Mbowe ni dosari za muda, lakini kwenye umbo la nyoka ukikata kichwa umemaliza kazi.

Watanzania mna haki ya kutembea vifua mbele, tunapumuwa sasa ingawa kuna bado wanapitia magumu na uonevu, hizo ndio effect za kuwakabidhi nchi washamba.
 
Moshi kuwa jiji nalo ni moja ya mambo ambayo ccm haitafanya kwa kufuata woga uleule. Unajua Zanzibari kuna mikoa mitano ambayo hata ikiunganishwa yote haifikii ukubwa wa mkoa wa Kilimanjaro, lakini kwao ni mikoa kwasababu lazima wapendelewe kwa hali yao ilivyo.
Usilinganishe Moshi na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa ni nchi kamili yenye mamlaka yake, tafauti na Moshi ilikuwa ni sehemu ya province moja ya Tanganyika.
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, bado kuna watu wanasukumwa na fikra za kikabila. Badala ya watu kujitazama kama taifa, na hata pia mtu binafsi kutafuta fursa za maisha kupitia utaifa wetu, bado kuna watu wanaona fahari ya watu wa eneo fulani kuzungumza kikabila!
 
Hata sasa Zanzibar ni nchi, ina Rais wake, bendera yake, nyimbo yao ya Taifa and likes.

Nadhani tunashare sarafu na Passport tu.
 
Huyo timu gaidi hajui hilo
 
Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, bado kuna watu wanasukumwa na fikra za kikabila. Badala ya watu kujitazama kama taifa, na hata pia mtu binafsi kutafuta fursa za maisha kupitia utaifa wetu, bado kuna watu wanaona fahari ya watu wa eneo fulani kuzungumza kikabila!
Kama huna kabila kaa kimya
 
Issue siyo Wasukuma, issue ni kwamba Watanzania tumemkataa shetani na mambo yake yote, huyo shetani alitumia cover ya usukuma kama kabila kubwa kuficha maovu yake ilihali inajurikana wazi ni Mrundi.

Bahima Empire imefeli vibaya, watafute strategy nyingine, sasa hivi tuko bize kuwachomowa wote waliojipenyeza ndani ya system.

In short nchi iko kwenye mikono salama ya mama.

Swala la Mbowe ni dosari za muda, lakini kwenye umbo la nyoka ukikata kichwa umemaliza kazi.

Watanzania mna haki ya kutembea vifua mbele, tunapumuwa sasa ingawa kuna bado wanapitia magumu na uonevu, hizo ndio effect za kuwakabidhi nchi washamba.
Umemchomoa nani ?
Unajua kuwa nusu ya baraza bado ni sukumaland
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Ina maana wewe ulikuwa unawachukia wasukuma? Ulikuwa unawachukia kwa sababu gani? Hivi unaweza kumchukia au kumpenda mtu kwaajili ya kabila lake tu?

Kama ulikuwa unawachukia wasukuma kwa sababu tu ni wasukuma, pole sana. Mungu mwingi wa huruma, akusamehe.
 
Back
Top Bottom