Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

Pumbavu zako Ww , hata Kama angekuwa Mganda au mkongo kikubwa nchi ameiingiza uchumi wa Kati , Mbona Akufu Ado wa Ghana Alikuwa na asili ya China? Mbona Obama asili ya China, Mbona Trump asili ya Ujermani? Mbona Biteko asili ya Rwanda, mbona Samia asli ya Omani? Mbona Joseph Mungai asili ya Kenya. Kikubwa letea masirahi nchi yetu,
 
Wasukuma idadi itawabeba sana na makabila mengine Tanzania wakiendekeza uzembe wa kuzaa 30 years to come jamaa kina ngosha watabeba hatma ya mama Tanzania.Wametapakaa sana.Pale Zanzibar mlandege wauza madafu usiku ni wao na ndiyo wamejaa mashambani wakulima na kuuza mazao ya shamba.Sensa ya mwaka huu ni msema kweli bahati nzuri wataalamu wa sensa wahesabu kwa kabila.
 
Ila kila mwisho wa mwaka wanatoa makafara ya mbuzi
Watu wanadanganyika wachagga ni watu wenye kupenda kwao kwasababa hakuna uchawi sio kama mikoa mingine ukirudi nyumbani na mali umekwisha.
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Kwenye hiyo Mikoa uliyoitaja, Ng'ombe ni wengi kuliko hata hao Wasukuma unaowasema.

Kwa hiyo kama Ng'ombe nazo huko kwenu mnahesabu kama ni Binadamu basi sawa Katavi na Moro kuna wasukuma wengi.
 
Sio Hapo tu hujafika hata huko LINDI Mkuu hawa watu si wakuchukulia poa kabisa ila sema sisi hua hatuwaelewi tu.
 
Pumbavu zako Ww , hata Kama angekuwa Mganda au mkongo kikubwa nchi ameiingiza uchumi wa Kati , Mbona Akufu Ado wa Ghana Alikuwa na asili ya China? Mbona Obama asili ya China, Mbona Trump asili ya Ujermani? Mbona Biteko asili ya Rwanda, mbona Samia asli ya Omani? Mbona Joseph Mungai asili ya Kenya. Kikubwa letea masirahi nchi yetu,
Tulia dawa ikuingie kenge wewe
 
Wasukuma idadi itawabeba sana na makabila mengine Tanzania wakiendekeza uzembe wa kuzaa 30 years to come jamaa kina ngosha watabeba hatma ya mama Tanzania.Wametapakaa sana.Pale Zanzibar mlandege wauza madafu usiku ni wao na ndiyo wamejaa mashambani wakulima na kuuza mazao ya shamba.Sensa ya mwaka huu ni msema kweli bahati nzuri wataalamu wa sensa wahesabu kwa kabila.
Kabisa mkuu
 
Akati unashangaa hiyo mikoa pwani nayo ishavamiwa Hadi kusini ukienda hadi tunduru ndani ya selou wamejaa wao wanafuga na wanalima mpunga
 
Huu mshituko nimeupata baada ya kuwa na project ya miezi 6 kwenye mikoa ya Morogoro na Katavi, kutokana na project hii nimekuja na mtazamo tofauti kabisa kuhusu kabila la wasukuma .
Mwanzoni nilijua wasukuma ni kabila la wavivu fulani waliojazana kanda ya ziwa tu kumbe siyo kweli kabisa. Nimegundua wasukuma aka akina Ngosha ni wachapakazi na wana umoja kupitiliza na wamejaa sehemu zote zenye fursa nchini!, nilipofika mkoa wa Morogoro kuanzia Ifakara hadi Malinyi madoni wenye maduka makubwa ni wasukuma na muda wote wanazungumza lugha ya Kisukuma tu.
Nilipoenda mkoa wa Katavi maeneo ya Mpimbwe kote huko madoni ni wasukuma wamekamata biashara zote kuanzia madukani hadi mashambani.
Nimegundua kuwachukia wasukuma ni kupoteza muda na kujitakia presha ya bure tu ,hamna namna utawashinda ,njia rahisi ni kuungana nao tu.
Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania ...idadi yao ni Kati ya milioni 12 na 15 au hata 18...
 
sema hawana sifa xa kijinga na kujiona wana hela! Ila kwa taarifa yao wanaowachukia wasukuma watasubiri sana! Wanatunza tamaduni na maisha wanatengeneza vizuri tu!
Kabisa mkuu
 
Mtaji wa msukuma ni kuzaa watoto wengi na kuwafundisha kupiga kazi.Ndiyo maana Magufuli alisisitiza kufanya kazi alimaanisha kujijengea uchumi imara, waliomuelewa Leo wana mitaji.Wale wavivu hadi leo wanazungumzia misaada ili kujenga nchi
Kweli kabisa watoto wengi ndo mtaji wa sukumagang.Mwishowe umegeuka kuwa mtaji wa kisiasa.
 
Unajua **** watu miaka ya nyuma waliwachukulia poa sana! Lakini saizi hawaamimi kimachotokea kwenye shule wapo wa kutosha, biashara wapo, kilimo wapo,madini ndo usiseme wameteka mpaka basi! Sasa wakioma hivo hawapendi wanatamani muundelee kuchunga ng'ombe kama zamani! Wanasahau usemi mtu utamdanganya lakini sio siku zote!
 
Back
Top Bottom