Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Kuwa na nyumba viwili ndio wageni wasije kwako ungekuwa na watoto na hvyo vyumba viwili angeishi nao vipi.
 
Kama kahoa wapo sahihi ila angekuwa ameoa hapo panguwa na tatizo so we waache wahowane tu mkuu
 
We uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabuni
Nakuja mkuu nikufaidi sarufi peleka shule wasikuchoshe mfyuu
 
Hii mikoa ina mikosi ya wanawake: Tanga, Kilimanjaro, Iringa, Njombe, Mbeya......kwa mwanamme ukitaka kuchanganikiwa maishani oa mwanamke wa hii mikoa. Yaani kero tupu, kama si ushirikina basi utalizwa na ukahaba na utapeli wa mapenzi pamoja na kuwekwa roho yako rehani.
Kilimanjaro mfyuuu
 
Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
kuhoa ndo kitu gani
 
Hii mikoa ina mikosi ya wanawake: Tanga, Kilimanjaro, Iringa, Njombe, Mbeya......kwa mwanamme ukitaka kuchanganikiwa maishani oa mwanamke wa hii mikoa. Yaani kero tupu, kama si ushirikina basi utalizwa na ukahaba na utapeli wa mapenzi pamoja na kuwekwa roho yako rehani.
Lkn ndiyo mikoa ya watu wasomi na wenye upeo wa juu wa maisha, angalia utajiri wao, hakuna njaa wala wajinga na haiwezi kuwa na level sawa na mkoa wako we nenda kaoe/kaolewe na unaofanana nao ....mwisho nikusihi mfundishe nduguyo kuandika, ona alivyokuabisha.
 
Sio kupanic jombii nishapokea marekebisho lakini sasa kila mtu amekua ni mrekebishaji baada ya kujikita kwenye mada hata ambaye haelewi na yeye anafata mkumbo
Ndo ujue ujinga na wajinga humu lazima wakubali kusahihishwa iwe kwa kejeli au kiustaarabu
 
Ndio hapo unaunganishaje wanawake wote wanaotokea Tanga halafu kila siku humu mambo ni Tanga tu mara mwanaume kapewa mapenzi kachanganywa na mwanamke kutoka Tanga jaman basi ukitongoza akikwambia anatoka Tanga achana nae tu jaman ili uishi kwa amani utafute mwanamke wa kabila lako ili muendane
Ushauri mzuri umejaa hekima.Tuacheni tupumue angalau Lol!
 
Back
Top Bottom