Asilimia kubwa ukioa ktk familia masikini tegemea haya!!Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
Ngoja nicheke kwanza hahahahaaaaaaa!!!!Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
Shukrani kwa majibuMnamambo nyie. Tanzania ilivyo na mikoa mingi lakini kila kukicha Tanga tu.
Kwani si kaenda mwenyewe au alipelekwa. Ila kiukweli kila mwanamke ana tabia yake hivyo mnapounganisha wote huwa nashangaa sana.
We uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabunijaman hizo art sio za kisukuma ujue !hahaha huyu lazima mtu wa pwani iwe isiwe!wengi wavivu kujiendeleza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shukrani kwa majibu
Usijifanye unajua Sana utazan ulikua unapata 100 ...ila si umeelewa au Kama huna cha ku comment pita kimya kimya mfyuuuHivi siku hizi kiswahili nacho kimekuwa kama kiingereza? Kuhoa maana yake nini? Mzee kifimbo cheza yuko wapi?
Usipanic jombaa kubali kurekebishwaWe uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabuni
Kama ni mimi nashinda na taulo tuu,nikihitaji mzigo namuita mtoto wao mchana nampiga mkuyenge anatoa vilio nao wanasikia.Kuna jamaa mmoja pia alioa msambaa ndugu wa mwanamke wote wamehamia kwake baba mama dada na kaka zake na wadogo zake jamaa anavyumba vitatu na sebule
Utazan ndiyo kitu gani? Povu jingi sana ,vipi umemeza debe la omo?Usijifanye unajua Sana utazan ulikua unapata 100 ...ila si umeelewa au Kama huna cha ku comment pita kimya kimya mfyuuu
Sio kuhoa ni kuoa.Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
We uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabuni
Mnamambo nyie. Tanzania ilivyo na mikoa mingi lakini kila kukicha Tanga tu.
Kwani si kaenda mwenyewe au alipelekwa. Ila kiukweli kila mwanamke ana tabia yake hivyo mnapounganisha wote huwa nashangaa sana.