Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Usipanic jombaa kubali kurekebishwa
Sio kupanic jombii nishapokea marekebisho lakini sasa kila mtu amekua ni mrekebishaji baada ya kujikita kwenye mada hata ambaye haelewi na yeye anafata mkumbo
 
Mnamambo nyie. Tanzania ilivyo na mikoa mingi lakini kila kukicha Tanga tu.

Kwani si kaenda mwenyewe au alipelekwa. Ila kiukweli kila mwanamke ana tabia yake hivyo mnapounganisha wote huwa nashangaa sana.
Ndio hapo unaunganishaje wanawake wote wanaotokea Tanga halafu kila siku humu mambo ni Tanga tu mara mwanaume kapewa mapenzi kachanganywa na mwanamke kutoka Tanga jaman basi ukitongoza akikwambia anatoka Tanga achana nae tu jaman ili uishi kwa amani utafute mwanamke wa kabila lako ili muendane
 
Sio kupanic jombii nishapokea marekebisho lakini sasa kila mtu amekua ni mrekebishaji baada ya kujikita kwenye mada hata ambaye haelewi na yeye anafata mkumbo
Kausha endelea kuchangia kistarabu
 
kama hauna thread ya mshiko..... comment za kwetu... kama umeoa kwenye familia duni mno xaxa unategemea nn....
 
mtoa Mada kuhoa ndo nn nafikiri muongo utamjua tu... taja kabila lako na ww tukukosoe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah nimecheka sana eti "Kahoa" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe umehoa wapi kaka tuanzie hapo kwanza ulipohoa
 
😀😀Kuna watu wamepewa hela walipe ada ya shule, wao wakaamua kununua smartphone.[HASHTAG]#Kuhoa[/HASHTAG]
 
Ndio hapo unaunganishaje wanawake wote wanaotokea Tanga halafu kila siku humu mambo ni Tanga tu mara mwanaume kapewa mapenzi kachanganywa na mwanamke kutoka Tanga jaman basi ukitongoza akikwambia anatoka Tanga achana nae tu jaman ili uishi kwa amani utafute mwanamke wa kabila lako ili muendane
Kweli kabisa malalamiko kama haya tusingeyaona.
 
Back
Top Bottom