Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
2,453
Reaction score
2,206
Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza.

Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo

Badilikeni jamaa, hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote.
 
Wadau nina jamaa angu kahoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
Hivi siku hizi kiswahili nacho kimekuwa kama kiingereza? Kuhoa maana yake nini? Mzee kifimbo cheza yuko wapi?
 
Wadau nina jamaa angu kahoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza. Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo badilikeni jamaa hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote
[emoji95] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom