Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Inamaana rafiki yko hataki wageni au!
mtu wa pwani hawezi shindwa tofautisha R na L au H na A hahahaha huyu ni wa bara tuujaman hizo art sio za kisukuma ujue !hahaha huyu lazima mtu wa pwani iwe isiwe!wengi wavivu kujiendeleza
HahahahahahahahahahahaUandishi wake nimeupenda una kituo kimoja tu katikati ya story..
Umeenda mbali sana, rafiki! Kukosea kupo, ni sehemu ya maisha; kwani ungekubali kuwa umekosea ungepungukiwa na kitu?We uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabuni
Na mm nitahoa tanga
Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa kiume jamaa kapanga chumba na sebule familia ya mwanamke yotevimehamia kwajamaa alianza.
Mama mkwe saiz wsmekuja watoto wake wawili wA kiume na kike wa kike ana mtoto jamaa amejaribu kunywa pombe akafanya fujo nyumbani akamchapa mpaka ma mkwe lakini wapi hakuna aliyeondoka mpaka saizi ukifika mlangoni kwa jamaa unaweza jua ni msikitini maana ndala zimejaa hapo
Badilikeni jamaa, hajahoa ukoo nimeuliza naambiwa ndo tabia za wasambaa wote.
Kuhoa??
We uliejiendeleza una nini peleka upuuzi wako kwani hujaelewa nilikua namanisha nini hata kama nilihishia la 4 unaweza kuta nina maisha mazuri kuliko wewe unayejua kuoa na kuhoa kama unabisha nifate inbox uone miradi ninayoendesha we mpuuzi huna na iyo elimu yako ya vitabuni
Mnamambo nyie. Tanzania ilivyo na mikoa mingi lakini kila kukicha Tanga tu.
Kwani si kaenda mwenyewe au alipelekwa. Ila kiukweli kila mwanamke ana tabia yake hivyo mnapounganisha wote huwa nashangaa sana.
Wee mwanamke au mwanaume?mshiko kwa hisia za watu kipi hujaelewa au mkuu we mxomali
HatareeHii hatari