Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

Ha ha ha ha ha ha shuhurii mi nipo na masai wangu hatunaga neno maisha mzuri kwakweli hawanaga mawenge
 
Hiyo tabia labda aliizoesha toka mwanzo, sasa hivi anaona kero...

siku zote pale pale mwanzo onesha tabia zote usizopendezwa nazo, ili jamii ikuzoee hivyo...


cc: mahondaw
 
Huyo jamaa si ndio wewe au??

Pole sana waswahili wanasema kosea njia utaelekezwa ila usikosee kuoa
 
jamaa kajitakia mwenyewe yaaani walivyoanza kutua wa kwanza asingekumbali aweke kambi sasa anakuja kumbuka shuka kumekucha...mshauri apambane na hali yake
 
jamaa kajitakia mwenyewe yaaani walivyoanza kutua wa kwanza asingekumbali aweke kambi sasa anakuja kumbuka shuka kumekucha...mshauri apambane na hali yake
 
Wasambaa hawanaga tabia hizo labda kama kaoa jini huyo maanq Tanga ukija kichwa kichwa utaoa jini na ukoo wake.
 
Daaaah... ndo tabia zao wa tanga..itabidi ufanye kuhoa na mama mkwe.... iyo ndo mbinu yaku wafukuza hao parasite hapo ndani.
 
Kaolewe wewe hapo alipo oabila kujipanga alizani huyo mke hana ndugu kama wagekuja wazaziwake agechukia huyo bado hajakua akanyonye au akamuoe dadayake akojoe alale
 
Back
Top Bottom