At the end of the day, ccm has to realise it's just a political party. It's bound to be challenged and its performance is measured by the public! So if they cant perform, while the country stumbles from one crisis to another, it is logical to lose support. This is the basics of multi-party democracy.
Max na wanajamii...Umemsahau Kigwangalla pia mkuu.
Something is very wrong somewhere. CCM wakija kushtuka wanaweza kuwa wamechelewa. Ushauri mwingine unaweza kudhani umetolewa na Malaria Sugu (as a joke).
Ukiikosoa CCM au CHADEMA unakuwa hasimu wake, jana napata sms nyingi tu toka kwa watu wa CDM ati tumewapa air time kubwa CCM kwenye vikao vyao, sasa nao soon wataambiwa kwenye NEC yao kuwa JF imenunuliwa na CCM?
Kazi ipo kubwa, mpaka watu waelewe maana ya Citizenry Journalism basi tutakuwa tushabatizwa kila aina ya majina, mahasimu, wanafiki, waongo n.k
Viwanja vipi tena hivyo??........isiwe CCM KIRUMBA na vingine vya namna ile..!!!
Very true mkuuSasa hivi kila mtu anayetumia JF au kuonekana JF maofisini au mitaani ataonekana ni Chadema.. so watch out huko maofisini.. hii ni gia ya kuanza kuwa na censorship police!!!
Sasa hivi kila mtu anayetumia JF au kuonekana JF maofisini au mitaani ataonekana ni Chadema.. so watch out huko maofisini.. hii ni gia ya kuanza kuwa na censorship police!!!
This is a big joke...Kadhalika, chama kinataka kuimarisha mfumo wa uwekaji wa kumbukumbu za mapato na matumizi, kustaafisha waliofikia umri wa kustaafu.
Sasa hivi kila mtu anayetumia JF au kuonekana JF maofisini au mitaani ataonekana ni Chadema.. so watch out huko maofisini.. hii ni gia ya kuanza kuwa na censorship police!!!
Nimesoma habari hii chini nikabaki kujiuliza; "Kama huyu ndiye Consultant wa Chama Tawala; hivi washauri wa serikali wanatoa ushauri wa namna hii pia?"
Napata wasiwasi kuwa Consultant huyu kafanya kazi kwa hisia na si kiutaalam kama mlivyotarajia; kama ndiyo njia iliyotumika pia kwa kina Lowassa na wenzake basi kuna uwezekano wengi wameonewa kwa kisingizio cha 'consultant'.
Nitarejea nikiwa na maelezo marefu na ya kina juu ya ni nini JamiiForums na nani yupo nyuma ya JamiiForums. Kwa kuanzia wananchi watawasaidia viongozi wa CCM ambao mnapita hapa kujua mengi juu ya JF.
NB: Nilikuwa nirejee na maelezo marefu, lakini nimefahamishwa na mods kuwa kuna maelezo siku nyingi hapahapa JF; haya hapa
Msimamo wetu na maelezo kidogo
Habari yenyewe ni hii:
Kamati imedhamiria kuwa CCM nayo ifanye bidii kutumia fursa hizo za mawasiliano kama vile kuanzisha vyombo vyake ambavyo vitapambana na hasimu wao kama Jamii Forum.
This is a big joke.............................nimepitia mashirika mengi ya umma na nikaona JK amewaongezea muda wa mikataba watendaji wengi wa taasisi hizo..........................mfano shirika la Hifadhi la Ngorongoro kibosile pale tayari alikwisha kufikisha umri wa kustaafu tarehe 9th Machi 2011 lakini kwa vile Mwenyekiti wa Bodi ni shwahiba wa JK BW. Pius Msekwa ambaye naye ana kashfa nzito za kuliendesha shirika hilo kwa misingi ya ukabila na nafasi nyingi za juu ikiwemo ya CEO kampa mkerewew mwenzake...................it is no surprise kibosile yule JK kamwongezea mkataba wa miaka miwili wakati vijana wengi wasomi wako mtaani wanasaga lami...............................................PHP:Kadhalika, chama kinataka kuimarisha mfumo wa uwekaji wa kumbukumbu za mapato na matumizi, kustaafisha waliofikia umri wa kustaafu.
CCM will never change until power ebbs out of it.....................................................
Hapo kinaongelewa chama ndugu. Una maaa kuwa kwenye mashirika na bodi zake za wakurugenzi yako chini ya chama cha mapinduzi?
hata wafanye nini temechoka kuambiwa wembe wa zamani, makali yale yale. Huu ni uongo tena usiokuwa na fikra. We need change bana.
Bora wakazane kuitumia Clouds FM maana inamashabiki wengi huko wanaweza wakakiimarisha chama.
Hiyo Uhuru FM full mipasho nani atasikiliza hata Makamba mwenyewe hasikilizi.