Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hapo bado hawajataja mwanahalisi,mtanzania,majira,raia mwema..............mwaka huu watatapatapa saaaaanaaaaaaaa kalini imekula kwao.............
 
WanaJF

Nasikia kuwa michuzi blogs ndo imekuwa selected na consultant wa ccm
kuongoza jahazi

Je kuna mtu ana taarifa zaidi?

Source: Mtanzania

Hivi Musa na Neema, watoto wa Mr and Mrs Daudi Wana Umri Hivi Sasa?


Mwenye Taarifa atujuze.

lol!
 
Kumuogopa msema kweli ni dalili za mtenda maovu,hapa watu wanasema kweli kwa faida ya uma hivyo kama hawatendi maovu hawana sababu ya kuogopa.
 
hehehehe.. hi blog ya michuzi kitambo kweli sijakwenda pande zile.. kuna nini mpya kule.. hebu tujuze
 
Siyo JF kama taasisi inawashambulia, ni members wa JF ndio wanaowashambulia. Wakumbushe kwamba JF haijawahi kuitisha kikao na wanachama wake kuwapa maelekezo hayo, na JF haina control na mawazo ya wanachama wake. Waambie kwamba kama wanachama wengi wa JF wanapinga ccm inawezekana wanawakilisha sauti za watz
 
% kubwa ya maamuzi ya ccm yalofikiwa ni kutokana na shinikizo kutoka Jf,cdm na badhii ya magazeti yenye kutoa habari kiuzalendo, wengine hadi tindikail wakamwagiwa usalama wa mafisadi ukawapekua,......ALUTA CONTINUA WAPAMBANAJI WOOOOOOOTE!
 
jf tunaongoza hii nchi indirect, ccm is almost dead and buried with fisadiz being their priority
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom