ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,979
- 48,932
Mhm Dad unanipuuza bhana sema mimi muoga kuuliza naogopa kujibiwa shit 😢Nakupenda mbona
Mhm Dad unanipuuza bhana sema mimi muoga kuuliza naogopa kujibiwa shit 😢Nakupenda mbona
Nethina mburi
Bwashee kunywa chai kwanza😅Wethina mburi kiaje ambu misi yose utusagie kunguni ahaa! Utuvona vaasu tha matako yako
Wewe umeniahidi vingi ikiwemo kunitafutie mume bora sasa nasubiri nataka nitoke kwenye team ya kataa ndoa 😎Usijali. Hapa umefika ngome kongwe ya upare. Mimi ni Mfumwa Mtibeli.
Mhmm sijawahi kufanya hivyo , mimi sijibu vibya mtu yeyoteMhm Dad unanipuuza bhana sema mimi muoga kuuliza naogopa kujibiwa shit 😢
SawaaMhmm sijawahi kufanya hivyo , mimi sijibu vibya mtu yeyote
Bwashee kunywa chai kwanza😅
Hii ni AINiho he mfungo ahaa nitasia vaagha vashighe mawaa
Wewe umeniahidi vingi ikiwemo kunitafutie mume bora sasa nasubiri nataka nitoke kwenye team ya kataa ndoa 😎
Hii ni AI
Nimeokota tu upo kwenye mfungo 😅Niho he mfungo ahaa nitasia vaagha vashighe mawaa
Asante kakaNimekuahidi na nitafanya.
Uje na vigezo vyako.
Kisha tutaangalia vigezo vya muhimu.
Alafu nitakutafutia mtibeli mmoja matata.
Ufurahie maisha Mdogo wang
Nikweli mnakula ugali kwa picha ya samaki ukiwa nakachumvi pembeni?Sijawahi kuona Mpare Mjinga kwenye maisha Yangu.
Case Study humu JF wapare Wote tunawakilisha vizuri. Hata tukiwa ndani ya koti la ID fake akili zetu hazijifichi😆
Nikweli mnakula ugali kwa picha ya samaki ukiwa nakachumvi pembeni?
Nimeokota tu upo kwenye mfungo 😅
Hahahaha sawa mkuuNipo kwenye mfungo kuwaombea Wachaga waache Pombe
Hahahaha sawa mkuu
Kigweno , nasikia vizuri kabisaHicho ndio kipare sasa