Pia niongezee kitu mfanya kazi wa ndani huwa kwa siku at least hakosi n.k unakuta nyumbani anaachiwa pesa ya matumiz so kuna namna huwa wanafanyaMTU anayefanya kazi za ndani akalipwa 100k
Amemzidi kwa mbali Sana anayelipwa 200k
Mfanyakazi wa ndani anayelipwa 100k
✓ Take home 100k.
✓ Chakula anakula Milo yote hapohapo.
Kwa Siku mtu akila kawaida ni 4000 hapo kajibana. Kwa mwezi 120k
✓ Accommodation
Chumba cha Mfanyakazi halipi. Chumba cha kawaida 50k. Kwa mwezi.
✓ umeme halipi kwa mwezi kawaida 10k
✓. Nauli hatoi anakaa hapohapo.
Kwa Siku nauli 1k nauli ya kawaida. Kwa mwezi 30k
✓ maji halipi. Angepanga wastani maji 5k
Na mengineyo.
Jumla ya vitu ambavyo boss anatoa kwa mwajiriwa 350k.
Anza kujifunza dvanced Excel & dashboard reporting.Data mkuu
Nashukuru sana mkuuAnza kujifunza dvanced Excel & dashboard reporting.
Ukijua kutumia pivot tables na kutengeneza interactive dashboards utaonekana wa tofauti.
Ukianza na excel,ndani ya mwezi mmoja unaweza kuanza kuomba kazi za data entry au account assistant ambazo kuna uwezekano wa kupata.
Kila lenye kheri mkuu.
Nashukuru sanaJILIPUE
Dsm unaenda kuishi kwa nani? Kwa kupanga na kulipa kodi au nyumbani kwenu?Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante
Ntafikia kwa rafikiDsm unaenda kuishi kwa nani? Kwa kupanga na kulipa kodi au nyumbani kwenu?