min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,088
- 176,836
Kipindi nimemaliza chuo , nilisha kuwa supervisor kiwanda fulani huko moro , kiukweli hakuna kibarua anaweza toboa , kazi zile ni za kitumwa na hazijaandaliwa ili mtu utoboe na hata kula tu Milo ya siku ni ngumuKuna kiwanda pale Morogoro
Wanalipwa 250k wanafanya kazi 12*12 yaani ukiingia saa moja jioni mpaka Kesho saa 1 asubuhi. Na kazi ya shifti ni kazi ngumu Sana