Jamaa hukumuelewa , Anamaanisha mshahara wa laki 2 siku hizi si chochote hata kama unalipwa huwezi fanya lolote la maana kwenye Dunia hii ya LeoMliojipata mnadharau,hivi unajua mshahara wa sekta binafsi kwa kazi ambazo hazihitaji profession kubwa ni kiasi gani?Anza Leo kufanya sensa ya kazi zote zinazopatikana katika jamii ujue watu wanalipwaje.Unajua cashier wa kwenye shell analipwaje,unajua muuza pharmacy analipwaje,unajua nesi kwenye zahanati analipwaje,unajua mlinzi analipwaje,unajua cashier kwenye ofsi za kubeti(galsport,pmbet,premier bet) analipwaje,unajua mwalimu wa nursery school analipwaje,unajua dereva WA school bus analipwaje n.k acha dharau kijana.
Laki 2 sio mshahara ni posho ya vocha.Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante
Nilipataga kazi ya u meneja kampuni ya Star Oil ya Mo (METL) Mshahara eti 450,000Mliojipata mnadharau,hivi unajua mshahara wa sekta binafsi kwa kazi ambazo hazihitaji profession kubwa ni kiasi gani?Anza Leo kufanya sensa ya kazi zote zinazopatikana katika jamii ujue watu wanalipwaje.Unajua cashier wa kwenye shell analipwaje,unajua muuza pharmacy analipwaje,unajua nesi kwenye zahanati analipwaje,unajua mlinzi analipwaje,unajua cashier kwenye ofsi za kubeti(galsport,pmbet,premier bet) analipwaje,unajua mwalimu wa nursery school analipwaje,unajua dereva WA school bus analipwaje n.k acha dharau kijana.
Hata usijal mkuu karibu tenaMkuu umesomea maendeleo ya jamii lakini wewe mwenyewe haujui jinsi gani utaendelea ??
Sasa jamii itaendeleaje??
Samahani lakini mkuu..
Nashukuru sanaKomaa mkoani kwanza angalau kwa miezi 7-8 huku ukijibana kusave kila senti.
Tumia muda wako wa ziada kujifunza high-demand skills online.
Ukiamua kuja Dar, make sure uwe na angalau kiasi cha kukuvusha 3 months runway na uwe umeshafanya interviews kadhaa.
Kati ya data na ubunifu unapenda udeal na nini?Nashukuru sana
Unaweza kunisaidia kunitajia high demanded skill ambazo natakiwa kukomaa nazo kwa sasa?
Ili iwe rahisi kuzifahamu?
Data mkuuKati ya data na ubunifu unapenda udeal na nini?
Mliojipata mnadharau,hivi unajua mshahara wa sekta binafsi kwa kazi ambazo hazihitaji profession kubwa ni kiasi gani?Anza Leo kufanya sensa ya kazi zote zinazopatikana katika jamii ujue watu wanalipwaje.Unajua cashier wa kwenye shell analipwaje,unajua muuza pharmacy analipwaje,unajua nesi kwenye zahanati analipwaje,unajua mlinzi analipwaje,unajua cashier kwenye ofsi za kubeti(galsport,pmbet,premier bet) analipwaje,unajua mwalimu wa nursery school analipwaje,unajua dereva WA school bus analipwaje n.k acha dharau kijana.
Upo sahihi bwashee ,bora auze mchicha kuliko kutumikishwa kwa kusubiri 200k kwa mweziKwamba Mimi nimejipata sio😃
Mimi nazungumzia ukweli iwe umejipata au haujajipata.
200k kwa maisha ya sasa huwezi uita mshahara.
Hao wote uliowataja wanatakiwa walipwe mishahara na sio hayo malipo kama posho.
Mkuu Mimi nafanya kazi za ndani nalipwa laki je niache kazi au Mimi nifanyeje jamani?
Upo sahihi bwashee ,bora auze mchicha kuliko kutumikishwa kwa kusubiri 200k kwa mwezi
Heh au na mimi nikaombe hii kazi imenivutia namna umedadavuaMTU anayefanya kazi za ndani akalipwa 100k
Amemzidi kwa mbali Sana anayelipwa 200k
Mfanyakazi wa ndani anayelipwa 100k
✓ Take home 100k.
✓ Chakula anakula Milo yote hapohapo.
Kwa Siku mtu akila kawaida ni 4000 hapo kajibana. Kwa mwezi 120k
✓ Accommodation
Chumba cha Mfanyakazi halipi. Chumba cha kawaida 50k. Kwa mwezi.
✓ umeme halipi kwa mwezi kawaida 10k
✓. Nauli hatoi anakaa hapohapo.
Kwa Siku nauli 1k nauli ya kawaida. Kwa mwezi 30k
✓ maji halipi. Angepanga wastani maji 5k
Na mengineyo.
Jumla ya vitu ambavyo boss anatoa kwa mwajiri 350k.
Jamaa una akili sana ni vile tu umetokea kihurioMTU anayefanya kazi za ndani akalipwa 100k
Amemzidi kwa mbali Sana anayelipwa 200k
Mfanyakazi wa ndani anayelipwa 100k
✓ Take home 100k.
✓ Chakula anakula Milo yote hapohapo.
Kwa Siku mtu akila kawaida ni 4000 hapo kajibana. Kwa mwezi 120k
✓ Accommodation
Chumba cha Mfanyakazi halipi. Chumba cha kawaida 50k. Kwa mwezi.
✓ umeme halipi kwa mwezi kawaida 10k
✓. Nauli hatoi anakaa hapohapo.
Kwa Siku nauli 1k nauli ya kawaida. Kwa mwezi 30k
✓ maji halipi. Angepanga wastani maji 5k
Na mengineyo.
Jumla ya vitu ambavyo boss anatoa kwa mwajiri 350k.
Ni kupoteza mda wako tuTatizo Sisi watanzania hatupendi Ukweli unaotuhusu. Na tukiusema wanasema labda tumejipata, au wajuaji na majina mengine kama hayo.
Kwa malipo ya 200k kwa mwezi tena kwa masaa yanayozidi matano Kwa Siku Bora mtu ajiajiri tuu.
Jamaa una akili sana ni vile tu umetokea kihurio
Ni kupoteza mda wako tu
Heh au na mimi nikaombe hii kazi imenivutia namna umedadavua
Nitaomba kaka baada ya kuja kukutembelea kumbuka ulinipa mwaliko nije nikae na wake zako mwezi mzima unakumbukaOmba kwa Wageni wa nje au mabalozi wanalipa 300k mpaka 400k