Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 128
Je tunapinga kwamba kila kitu kina sababu?
Hapana sipingi. Ni kweli kila kitu kina sababu...just like kila uamuzi/tendo lina matokeo.
Mimi nasema maana yake ni kwamba kila kitu kinachotokea, na mara nyingi hata kama kibaya, basi kina maane yake kutokea kwa sababu siku za mbele kitakuja kusababisha mazuri.
Kaka, ishu yangu mimi ni kwamba kuna uhakika gani hicho "tuzuri" tuko in the future?
For everything that happens, there is a reason.
I agree!.....the reason might have been settled in the past. Who would know!!!