Msemo ninaouchukia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemo ninaouchukia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Haika, Jun 10, 2008.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kuna msemo ninaouchukia sana,
  vijana wakihojiwa tu, wanasema unajua wenzetu wakenya wanauwezo zaidi.
  sisi shule zetu hazijatuwezesha kujieleza.
  kuna namna fulani watu wanajisikia wanyonge, wakati kiuwezo wanao kabisa positive mentality tutaitoa vipi?
  hii ndio inatumaliza kabisa kwa mtazamo wangu.
  je kama wewe huwezi kitu, je hujamuona mtanzania mwenzio anaeweza ukamsifia???
  lazima umsifie mtu wa nje?
  je tunachukiana kiasi hicho?
  Manake ukiangalia watu wa nje wanaapreciate sana kazi za watanzania.
  tungaingiza vipi mentality ya mtanzania (hasa kijana) kumpenda na kuapreciate kazi ya mtanzania mwenzake?
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Msemo ninaouchukia,

  "Waafrika ndivyo tulivyo" pompously presagious with a prejudicial premonition.
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni inferiority complex .... tuwafunze kujiamini
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Haraka haraka haina baraka.
  Pole pole ndiyo mwendo.
  Kilichouwa kazi nachewe kazi (Wanyamwezi na Wasukuma).
  Mapenzi ya Mungu...
  Mungu katoa, Mungu katwaa....
  Haikuwa bahati yangu (Thiery Henry anasema inabidi uitengeneza bahati...)
  Tanzania masikini, Tz kichwa cha mwendawazimu, Tz ni ......, wee umefika nchi nyingine?
   
 5. H

  Haika JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  I hope I am not mistaken that you among Tanzanians, sema tujifunze, sio tuwafunze.
  Ok sasa hio kitu inafundishwaje??
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haika,

  Kama naima hayupo kati ya hao wanaosema "Waafrika ndivyo tulivyo" ana haki ya kutumia "tuwafunze" na sio tujifunze.Kama yeye kashang'amua ujuha wa kauli hii ni sawa kwake kuona hana cha kujifunza ila kuwafunza wale ambao hawajang'amua ujuha huu.
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi!!!
  he, hii nilikuwa sijawahi kuisikia, maana yake nini?
  au ni kuwa kazi ulioiacha ulienda pia kufanya kazi ingine hata kama ni kulala?
   
 8. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Msemo ninaouchukia:

  "What goes around comes around"

  What....am I supposed to be scared?....poooolize!!!!
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jambo hili ni zito sana,ni suala la malezi zaidi,lugha za viongozi wetu zinatufundisha kuwa sisi ni choka mbaya (taifa letu changa, wafadhili wanachangia budget yetu, wafadhili wamechangia choo cha shule nk),ukija kazini,watu wanaamini kuwa bila kushikwa mkono huwezi kushinda interview !!! eti hata kama mtu ni professional

  Watz waliofanikiwa kwa njia halali ni wachache mno kiasi kwamba tunakosa reference za maana ktk maisha ya kawaida. Tuanze sasa kujifunza kujiamini.Mimi nimeshaanza kufanya hivyo na wewe fanya,mwisho wote tutafanya,japokuwa muda utapita.
   
 10. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hate it or not, it is true!
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Haika,
  Hii yote ni misemo ya KIVIVU na kujihalalisha kuwa kilichotokea ni bahati mbaya au kilikuwa nje ya uwezo wako. Tuseme ni wakati wa MASIKA kule Sikonge na unapata mgeni (ingawa wakti huo huo kuna msemo wa Kinyamwezi unasema Kinatembea wakati wa Masika basi ni kilema). Sasa ingawa ugeni huu ni ule unaweza kuuita WALA VYA BURE kama viongozi wa dini basi unakuta mama na baba siku hiyo wanaacha kazi zote na kwenda MHUDUMIA MGENI. Na hii wanaiita ni KAZI PIA. Njaa ikija wanasema "bahati mbaya au Mipango ya Mungu". Nikiwa Technical College Arusha, tulitembelewa na Boss wa umoja wa Vijana (Lulandala?) na akaja kubwabwaja pumba tupu. Nakumbuka hadi Marehemu Method Mogella (RIP) akamropokea ovyo. Kilimsadia tu kuwa alishaanza kuwa STAR fulani pale Arusha. Sasa second Principal wetu aitwaye Mbosoli (Msukuma) akaja na kutuambia "Vijana tumeuwa vipindi kwa sababu ya huu ugeni. Kama wahenga walivyosema KILICHOUWA KAZI NACHENYEWE NI KAZI basi ....." Mie nilicheka sana kwani nilijua kafanya DIRECT TRANSITION ya neno lisemalo "Chawulaga mlimo nacho mlimo au Chawulaga ndimo nacho ndimo." Ningelikuwa Rais basi ningelipiga marufuku hii misemo midomoni mwa Watanzania.
   
 12. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  I believe people use it to try to seek sympathy for whatever happen against their favors....

  I don't trip for that crap saying...
   
 13. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I understand it to be a word of caution. You got to get out of the cycle, you got to act before you get suck down by the vortex!
   
 14. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  What goes around comes around is as natural as Newtons laws of motion and Brownian motion, as ancient karmic repercussions, as mathematical as the laws of probability and as real as a viral infection.

  How can you not feel something that natural?
   
 15. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kudos to you Pundit! I could not have said it more clearer!
   
 16. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kitia,
  Right, but we all know that every decision we make has concequence(s). So what makes you think that what just happened against you, will come back to haunt the one who caused it to happen "directly or indirectly" in the future? How about thinking that you are just facing consequence(s) of the decision you made earlier?

  Pundit,
  It's not that I can't feel it, It's just that I think it's one of those ridiculously natural saying. People use it with the hope that you gonna get hit by a thunderstom or something....

  I think "every decision we make has consequence(s)" is more natural than "what goes around comes around". What do you think?
   
 17. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  One has to differentiate the meaning and proper usage of a saying.

  Msemo "haraka haraka haina baraka" unaweza kuwa na maana au unaweza kuwa hauna maana kulingana na mazingira. Kama mko vitani na haraka inahitajika, msemo huu unakuwa hauna maana na badal yake msemo mwingine wa "Ngoja ngoja huumiza matumbo" unaweza kutumika.

  Lakini kama upo katika decision making process inayohitaji tafakuri ya kina then unaweza kutumia msemo wa "haraka haraka haina baraka"

  Kwa hiyo msemo wa "What goes around comes around" ni logical, ila matumizi mabaya yanaweza kuufanya uonekane wa ajabu.Kumbuka, ukionekana wa ajabu si kutokana na msemo kutokuwa na maana, bali mazingira msemo ulipotumika kutokuwa murua.
   
 18. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni sawa kabisa.

  Wala sipingi logic ya huo msemo. Mimi na beza jinsi huo msemo unavyotumiwa na majority ya watu.
  ..............................................
  Msemo mwingine ninao ubeza:

  "everything happens for a reason"

  Msemo huu nina ubeza kwa sababu watu wengi wanautumia kwa kubweteka kwamba "hawakufanikiwa sasa hivi, kwa sababu ya mafanikio mazuri ambayo pengine yatatokea in the future." What are the chances? What if hayo mafanikio mazuri pengine yalikupita huko nyuma na hukuyaona?
   
 19. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Usibeze msemo, beza wasiojua kuutumia huo msemo na wanaoutumia vibaya.

  Misemo tunayoibeza hapa ni ile ambayo huwezi kuitumia wakati wowote ikawa justified.

  Ukisema "Waafrika ndivyo tulivyo" under any circumstances unakuwa prejudicial na una lump mamilioni ya watu, which is not cool, kwa hiyo mimi nauchukia msemo huu.

  Lakini si sawa na kusema nachukia msemo "Haraka haraka haina baraka" ambao mara nyingine unakuwa sawa kutokana na mazingira.
   
 20. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Haya mzee...

  I guess hapa nilitakiwa niandike hivi...""Nina beza watu wanaoutumia msemo huu kwa kubweteka kwamba......"
   
Loading...