Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Wale watunisia walipochoka wakasema BEN ALLI DEGAGE!IPO SIKU NA cc tutasema JK DEGAGE!
 
Naona kavamia kazi ya Dr.Slaa kulipua mabomu.
Anataka wenye hiyo professional wakose cha kusema?
Chunga sana Msemakweli, kazi zina wenyewe hizo, waone kwanza kabla ya kusema.
We komaa tu na mafisadi wa elimu, hayo mengine yana wenyewe.
 
hapa hakuna ushabiki leta ushahidi maana huyu jamaa kawachafua watu
inabidi aswekwe mahakamani
Yaani wewe kama ningekujua kwa uso tu! ningehakikisha nakuvizia usiku na mchana....
nakutwisha tofali moja tu ya utosini biashara inaisha hapo hapo
 
Sidhani kama unamfhamau huyu jamaa, sidhani hivyo kabisa, ok
Naona kavamia kazi ya Dr.Slaa kulipua mabomu.
Anataka wenye hiyo professional wakose cha kusema?
Chunga sana Msemakweli, kazi zina wenyewe hizo, waone kwanza kabla ya kusema.
We komaa tu na mafisadi wa elimu, hayo mengine yana wenyewe.
 
wadau habari nilizozipata sasa ni kuwa mwanaharakati kainerugaba msemakweli bado yuko polisi kituo cha oysterbay na anasubiri kuandika maelezo (2:12 pm) hata hivyo the guy looks so healthy and confident. nitafanya nae mahojiano saa 10 na nitawajulisha kipi amehojiwa na kipi ameandika kwenye maelezo huko polisi.
 
Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola


which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Kumbe nawe ni mmojawapo ? Sikujua ni kwa nini umekuwa unatumia nguvu nyingi sana kuchafua na kubeza tuhuma hizi. Kumbe lengo ni kujitetea wewe pamoja na kundi lako la Wezi wa rasilimali za watanzania ??

Naapa mbele ya Watanzania wote :-Jiandae kunyongwa kwani harakati za kuikomboa Tanzania hazitazimika hadi Watanzania wamefaidika na rasilimali za nchi yao kwa usawa na kwa haki. Ee Mungu nisaidie ktk mapambano haya !
 
Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM

Rejao and Jeykey like this.

Wale wale kila siku ''Ghost Ryder, Rejao, Jeykey" Hamjioni mpo peke yenu humu ambao mnaukataa uhalisia wakati upo wazi? Mkiambiwa mtaji mazuri yanayofanywa na serikali hii mtapata mangapi?
 
wadau habari nilizozipata sasa ni kuwa mwanaharakati kainerugaba msemakweli bado yuko polisi kituo cha oysterbay na anasubiri kuandika maelezo (2:12 pm) hata hivyo the guy looks so healthy and confident. nitafanya nae mahojiano saa 10 na nitawajulisha kipi amehojiwa na kipi ameandika kwenye maelezo huko polisi.

Nakuaminia Prof, utupe yanayomuajiri Mzalendo Msemakweli, hakuna kulala mpaka Mafisadi wananyea debe
 
Fidel80 hapa tunasema haki itendeke juu ya sheria

Nani mwenye kutenda haki?

Huyo jamaa si kasema ana ushahidi na vielelezo na hao maboss walitangaza mwenye ushahidi apeleke.

Sasa si umeona ametenda haki kueleza umma wa Tanzania nani mwizi wa Kagoda sasa kwa nini mnamfunga mdomo?
 
Kila kitu kina mwanzo wake,

Natamani kumwona Msemakweli kizimbani na hati ya mashtka watakayomwandalia. Na pia itakuwa ngoma tamu sana kuiangalia kwa sababu itabidi dola lieleze makosa yake aliyoyatenda dhidi ya dola!!
 
Taarifa zilizotufikia wakati huu ni kuwa yule jamaa 'aliyewalipua' Rostam, Manji na wenzao jana; kakamatwa na Polisi toka ofisi ya DCI (Manumba) na anaendelea kuhojiwa.

Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyoahidi hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.

Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.

Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!

KUMBUKA KAULI YAKE:


UPDATES:

Maelezo mapya:

Msemakweli alikamatiwa ofisini kwa DPP. DCI Manumba alienda kwa DPP asubuhi akiwa na timu yake kisha Msemakweli alipofika na kuambiwa arudi Jumatatu akawakuta nje ya ofisi wakiwa wanamsubiria, akachukuliwa na kwenda naye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani kwa DCI kabla ya kumchukua kwenda naye Mikocheni zilipokuwa ofisi za tume ya EPA.

Update 1:

Update 2:

Msemakweli yupo huru kuongea na simu lakini si kama kaachiwa, mida hii (02:00PM) anaelekea kuandika maelezo.

Update 3:

ukisikia ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe ndio hili sakata la msemakweli.

hapa ni jamaa kukomaa mpaka kieleweke tulisha wachoka na vitisho vyao tuko nyuma yaka wakili msemakweli..

lazima kieleweke hapa.

Mungu mbariki Msemakweli
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika.
 
Una maana gani unaposema kakulupuka huku hana ushahidi???
Watanzania bwana mnatia kichefuchefu wakati mwingine. Ama na wewe umenufaika na EPA wakati maisha yanaendelea kuwa magumu kwa watanzania walio wengi?



which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi
 
Sidhani kama jamaa amekurupuka, kama ana ushahidi TOSHA na kafanya utafiti wake wa kutosha huko si kukurupuka. Ngoja tuone yakifika mahakamani ila kila kitu kiwe hadharani. Jamaa ni SHUJAA fupa la Kagoda limewashinda wengi sana.

Bora yeye Amesema ILI haki isije kumhukumu kama akiamua kufa nalo ndani ya moyo wake.

Huo ushahidi uko wapi? anajitafutia umaarufu tuu huyo. Hujui NGO zinavyopata pesa? waulize haki elimu.
 

watoa taarifa ndo hao wanakamatwa na polisi, kaazi kweli kweli. wezi wanaachwa, watoa taarifa wanaswekwa ndani, ingekuwa jeshi la polisi ni makini leo hii baada ya msemakweli kutoa taarifa basi tungesikia RA na YM wamekamatwa kutoa maelezo.
 
Back
Top Bottom